RC Makonda afanya dua kumuombea Ruge Mutahaba

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda ameongoza maombi rasmi ya kumuombea mkurugenzi wa CMG katika viwanja vya Posta jijini Dsm.
Maombi hayo yalifanyika kabla ya kuanza kwa tamasha la fiesta.

Source Clouds tv!
 
Hahaha huyu makonda alikuwa ana muombea pesa zingine kwa Magufuli nini?!
 
Mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda ameongoza maombi rasmi ya kumuombea mkurugenzi wa CMG katika viwanja vya Posta jijini Dsm.
Maombi hayo yalifanyika kabla ya kuanza kwa tamasha la fiesta.

Source Clouds tv!
UNAFIQ!!
 
Back
Top Bottom