Wema sepenga anachaua angaBongo Movie wapo Arusha kwenye kampeni ya Kueneza UZALENDO.
ufunguzi wa hekalu la boss wa jiji la dsm.Hii sherehe ya Nini?
Na siku utakapoacha unafiki utakuwa mtu bora kabisa...Siku tukiacha kuchaguliana marafiki tutaendelea kuliko America.
Usisahau huyo ndo beloved son,na ndio mtu wa pili hapa tz mweny ruhusa ya kuishi kama maraikaHawa wasanii wanakubalije kuzalilishwa na form failure bashite
Hata shetani hauna uadui nae!!!!!Kirahisi kabisa huwa sina marafiki wala maadui. Niko huru sana nashukuru Mungu yangu yananiendea vizuri,. Nikikosea au kupatia simlaumu mtu.
Mweke hapa Gavana mwenye Fa Fa Fa huko kwa TrumpSiku tukiacha kuchaguliana marafiki tutaendelea kuliko America.