RC Makonda aipatia Club ya Wananchi Yanga kiwanja Kigamboni

RC Makonda aipatia Club ya Wananchi Yanga kiwanja Kigamboni

Mawazo haya ya wachangiaji kutoka Ufipa yanatia wasiwasi sana...! Ivi CDM itakuwepo kweli baada 2020? Nyie endelezeni 'Pinga pinga' kwa kila kitu..! Wananchi wanawasubiri 2020.
Watake radhi wananchi! Hawawezi kuwa na bongo lala kama yako
 
Leo katika Kubwa Kuliko Diamond Jubilee kulikuwa na Harambee ya kuichangia Club ya Wananchi Young African Sports Club.

Mgeni rasmi alikuwa Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa K Majaliwa,Pia alikuwepo Mh Rais Mstaafu JK ambaye ni Yanga kindakindaki pamoja na RC Makonda. pia walikuwapo Wabunge,wafanyabiashara na maelfu ya wadau wa soka Nchini

Katika Harambee hiyo RC Makonda yeye ameaidi kuipatia Club ya Yanga Uwanja maeneo ya Kigamboni kwajili ya kujenga Uwanja

Na kwa kukazia hilo Mh Rc Makonda amesema Jumatatu Uongozi wa Yanga uende ofsni kwake kwaajili ya kukutanishwa na maafisa ardhi ili waweze kukabidhiwa nyaraka za eneo husika

Kwaniaba ya Team ya wananchi tunakupongeza sana Mh RC Makonda kwa msaada huo wa kiwanja.

Alex Fredrick
Njombe
 
Kiwanja alichonyang'anywa Manji na serikali kule Kigamboni, kimerudishwa kinyume nyume kwa Yanga kutumia mgongo wa Makonda,
Hii kauli ya kuwapa Yanga kiwanja imetoka kwa Makonda baada ya Kikwete Kurusha jiwe fulani Gizani
 
Leo katika Kubwa Kuliko Diamond Jubilee kulikuwa na Harambee ya kuichangia Club ya Wananchi Young African Sports Club.

Mgeni rasmi alikuwa Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa K Majaliwa,Pia alikuwepo Mh Rais Mstaafu JK ambaye ni Yanga kindakindaki pamoja na RC Makonda. pia walikuwapo Wabunge,wafanyabiashara na maelfu ya wadau wa soka Nchini

Katika Harambee hiyo RC Makonda yeye ameaidi kuipatia Club ya Yanga Uwanja maeneo ya Kigamboni kwajili ya kujenga Uwanja

Na kwa kukazia hilo Mh Rc Makonda amesema Jumatatu Uongozi wa Yanga uende ofsni kwake kwaajili ya kukutanishwa na maafisa ardhi ili waweze kukabidhiwa nyaraka za eneo husika

Kwaniaba ya Team ya wananchi tunakupongeza sana Mh RC Makonda kwa msaada huo wa kiwanja.

Alex Fredrick
Njombe
Eneo lilishatolewa na Manji ekari 750 kwa ajili ya Yanga.Huyo huyo Makonda na Lukuvi kwa chuki binafsi wakalipora eneo hilo.Sasa eti anajifanya kuwapa eneo.Nawasihi viongozi wa Yanga msikubali eneo hilo.Huyo ni mnafiki mbaya kuliko mchawi

Lizaboni
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.

Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.

Niishie hapo povu ruksa.

Maendeleo hayana vyama!
Hata JK ambae ni mnazi wa kutupwa wa Yanga Jana kasema aliwapa Simba 30Mil kwa ajili ya Uwanja wao wa Bunju kupitia kwa Aden Rage.

Maendeleo ya Soka hayana U-klabu.!!
 
wataujenga huo uwanja.
Au wananchi watalishia mifugo.
hela zenyewe mpaka wapigishe BAKULI KUBWA KULIKO.
 
Back
Top Bottom