kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,451
- 2,059
Wananchi wa Tanzania ambao hawana mawazo mgando kama yale kutoka ufipaniWananchi gani unaowazungumzia ?
Watake radhi wananchi! Hawawezi kuwa na bongo lala kama yakoMawazo haya ya wachangiaji kutoka Ufipa yanatia wasiwasi sana...! Ivi CDM itakuwepo kweli baada 2020? Nyie endelezeni 'Pinga pinga' kwa kila kitu..! Wananchi wanawasubiri 2020.
Eneo lilishatolewa na Manji ekari 750 kwa ajili ya Yanga.Huyo huyo Makonda na Lukuvi kwa chuki binafsi wakalipora eneo hilo.Sasa eti anajifanya kuwapa eneo.Nawasihi viongozi wa Yanga msikubali eneo hilo.Huyo ni mnafiki mbaya kuliko mchawiLeo katika Kubwa Kuliko Diamond Jubilee kulikuwa na Harambee ya kuichangia Club ya Wananchi Young African Sports Club.
Mgeni rasmi alikuwa Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Majaliwa K Majaliwa,Pia alikuwepo Mh Rais Mstaafu JK ambaye ni Yanga kindakindaki pamoja na RC Makonda. pia walikuwapo Wabunge,wafanyabiashara na maelfu ya wadau wa soka Nchini
Katika Harambee hiyo RC Makonda yeye ameaidi kuipatia Club ya Yanga Uwanja maeneo ya Kigamboni kwajili ya kujenga Uwanja
Na kwa kukazia hilo Mh Rc Makonda amesema Jumatatu Uongozi wa Yanga uende ofsni kwake kwaajili ya kukutanishwa na maafisa ardhi ili waweze kukabidhiwa nyaraka za eneo husika
Kwaniaba ya Team ya wananchi tunakupongeza sana Mh RC Makonda kwa msaada huo wa kiwanja.
Alex Fredrick
Njombe
Kama maji hayatuami, watajenga tu. Kuna mtu anayependa kuitwa chura?Je Watajenga
Ova
Exactly, lakini sidhani kama watu ni wajinga watasahau mateso yote haya!Uchaguzi umekaribia!!
Hata JK ambae ni mnazi wa kutupwa wa Yanga Jana kasema aliwapa Simba 30Mil kwa ajili ya Uwanja wao wa Bunju kupitia kwa Aden Rage.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni leo Makonda amejiandikia historia mpya nchini.
Makonda ni Simba kindakindaki na Mbowe ni Yanga aliyekunywa maji ya bendera lakini katika maendeleo mambo ya itikadi huyaweka pembeni.
RC Makonda ameipa uwanja timu ya Yanga katika eneo la kigamboni ambapo uongozi wa Yanga umenena utajenga Dar Young Africans Sports Academy.
Niishie hapo povu ruksa.
Maendeleo hayana vyama!
Nauliza sijibiwi, hivi Simba ina fedha?wataujenga huo uwanja.
Au wananchi watalishia mifugo.
hela zenyewe mpaka wapigishe BAKULI KUBWA KULIKO.
Fedha watoe wapi? Labda mmiliki wa Timu mzee Kilomoni aweke hati bondi kwa Mhindi ndio wakopesheke.Nauliza sijibiwi, hivi Simba ina fedha?
Nauliza sijibiwi, hivi Simba ina fedha?
Sasa mtu anachekaje bila kujua fedha za kuihudumia Simba zinatoka wapi?Fedha watoe wapi? Labda mmiliki wa Timu mzee Kilomoni aweke hati bondi kwa Mhindi ndio wakopesheke.
Rage alishasema ni mbumbumbuSasa mtu anachekaje bila kujua fedha za kuihudumia Simba zinatoka wapi?