Moja ya taarifa zinazotia AIBU soka letu ni kama hizi za timu kongwe ya karne nyingi kama Yanga haina kiwanja, leo mwaka 2019 inapewa kiwanja kama msaada, na hili si kwa Yanga tu ni vilabu vyote, ndugu yake Simba ana uwanja ambao haujaisha ingawa amaechelewa sana, na kwa hili si ajabu kwanini soka letu halisongi mbele. Kiwanja ni moja ya mahitaji makuu ya timu ya mpira.