Paul Makonda ni kama anaendelea kujitengenezea jina huko Arusha kwa ajili ya ubunge.
===
Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda, akimshika mkono kijana mjasiriamali anayeuza nyanya mitaani, ishara ya kutambua na kuthamini juhudi za vijana katika kujitafutia riziki. Serikali inaendelea kushirikiana na vijana kuinua biashara ndogo na kuleta maendeleo endelevu.
View attachment 3258548