RC Makonda amuomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa kipigo ilichopata Taifa stars

Amesemaje? Kwamba Ccm stars itaigalagaza Algeria? Haahaa anailetea nuksi team yao ifungwe goli nyingi anyamaze tu.....
 
Once upon a time president Magufuli tell's mwakyembe that to fail in games is pain, it is better to use a youth from kyela than worst team we have
 
Hakuna cha Amunike wala Makonda. .wachezaji wetu hawana quality. .ndio maana tuna Samatta tu
 
Algeria tafadhali msituangushe siku mkikutana na timu inayomuwakilisha Magufuli na CCM. Pigeni za kutosha tu kama mlivyofanya mara mwisho kule kwenu. Zikiwa walau mkono itakuwa poa sana.
 
01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Why? Usitupinge mpaka mwisho bhana (we have nothing left) tuonyeshe tabasamu kidogo wewe ni Mtz mwenzetu,dada yetu,shangazi yetu na shemeji yetu.Tuonyeshe upendo kidogo ulioubakiza.
 
Mechi ya Algeria tutashinda Hamtaamini [emoji1787]

Kwa maneno kweli tutashinda,mbona tumeshinda mechi zote zilizopita! Watz tunaamini kushinda ni imani sio vitendo. Ndio maana uwekezaji bado ni mdogo kwenye michezo.
 
Ahhh kuongeza nguvu!! Kenya imemshinda na ndio aliona fursa hiyo hakuna jambo anafanya endelevu yote siasa kawatumia wanawake katika mambo binafsi kawaacha, mashoga kawaacha, showroom ya magari kigamboni kasahau, wasanii kawaacha yaani mambo mengi muda mchache. Usitumie shida za watu kujinufaisha focus katika mambo ya msingi mengine yana wenyewe hakuna super man.
 
Ndege wafananao huruka pamoja... Hawa watu wanaendana kwa kila kitu licha ya ukabila wao, pia na ushamba wafanana pia... Sasa tuonapo wamekosea kumbe kwao wanazidi kupongezana... Kuna muda maamuzi yao sio tu kwamba yafanyika ili yalete faida, la. Bali wanafanya ili baadhi ya watu flani iwaume, yaani wazidi kuumia
.. Hii ndo tuseme, tumepatikana kwa kuongozwa na wenye visa.
 
Hahaaaa bora ntulie mie maana naona mbele giza. Msemaji wa timu ya taifa
 
Kwa wasiojua, Bashite ndiyo Rais wa TFF kwa sasa.
Karia ana utata kwenye uraia wake. Wengi tunajua ni Msomali pasi na shaka.
Kama kawaida yake, Bashite kausoma mchezo mzima na kujipa Uenyekiti wa kamati y uhamashishaji. Karia anadhani atamsaidia kumaliza issue ya uraia.
Taifa Stars itakosa mengi kwa kumwendekeza Bashite
 
Tuache Siasa Kwenye Michezo Ila Uwezo Uamue
Sasa Anaharibu Tena Eti Taifa Stars Itaifunga Algeria
πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…β˜Ίβ˜Ί
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…