Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwa natamani nikuone ulivyo maana watu tunaenda kushoto wewe unaenda kulia unaga wasiwasi na maisha wewe.01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
😂😂😂 Ameshakata tamaa kakubali yamekwisha ngoja tukamilishe ratiba tuAngesubiri na mechi ya Aljeria pia. Au hiyo hapendi kuihamasisha!!?
Why? Usitupinge mpaka mwisho bhana (we have nothing left) tuonyeshe tabasamu kidogo wewe ni Mtz mwenzetu,dada yetu,shangazi yetu na shemeji yetu.Tuonyeshe upendo kidogo ulioubakiza.01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
Mechi ya Algeria tutashinda Hamtaamini [emoji1787]
Muombe radhi kama mwenyekiti wako wa MaCCMKwa niaba ya wana Kawe wenzangu nami namuomba radhi Rais
01/07/2019 nitakuwa shabiki wa Algeria
😀😀😀Tuache Siasa Kwenye Michezo Ila Uwezo Uamue
Sasa Anaharibu Tena Eti Taifa Stars Itaifunga Algeria
😂😁😀😃😄😅☺☺
Ndugu Zangu Mjifunze Kuchagua