ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Najua ni mtendaji mzuri haswa, naamini Bado tunahitaji huduma yake,
Toka ateuliwa kuanzia kuwa mwenezi hadi mkuu wa mkoa wa Arusha nimekuwa nikimfatilia.
Inaonekana RC Makonda ana kidonda na machozi moyoni yaani ana maumivu na visasi, anaamini Kuna maadui wanamtafuta
Utendaji wake Arusha sio wa maendeleo ya Arusha ila mambo yake binafsi, yaani utendaji wake ni Kwa ajili ya kujiosha na kupata platform ya kuwasema wabaya wake
1. Onyesho la magari ya miti
Huyu bwana aliitisha onesho la magari kama ya watoto
Yaani ni aibu kwenye uso wa Kimataifa kutangaza teknolojia ya vile.
Washauri wa Makonda ingia ofsini
2. Makonda festival
Hapa majuzi alifanya tamasha Arusha.
Media zote kubwa sijui alizipa sh ngapi kutangaza hilo tukio
Sasa kwenye tukio alichokiongea ni kuhusu maadui wake,
Kuitetea kuwa hakuvamia clouds fm, hakuteka watu n.k
Haya yote sidhani kama watu wa Arusha wanayahitaji.
3. Leo amefanya maombi ya kuombea Arusha
Hivi kweli Arusha inahitaji maombi
Vipi mikoa mingine kesho ikiitisha maombi itakuwaje Yaani Kigoma, Lindi, Singida, Tanga, Mbeya n.k wakuu wa Mikoa waitishe maombi tutaonekana vip kwenye uso wa Kimataifa
Kwamba maombi yataleta maji, madawati, madawa n.k
Makonda amekuwa akiongelea Siasa za Lisu nadhani Kwa cheo chake sio busara kushindana kisiasa
Nashauri mamlaka ya uteuzi ikae nae imshauri kipi cha kufanya na aache hizi mambo