Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda, ametoa wito kwa wananchi wa mkoa huo kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la Mkazi, ili kuwa sehemu ya maamuzi ya kuchagua viongozi wanaohitajika kwenye ngazi ya vijiji na vitongoji.
Makonda ametoa wito huo, Alhamisi, Oktoba 17, 2024, alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kata ya Unga Limited ambapo amesisitiza kuwa kutokushiriki katika zoezi hilo kwa uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, kutawanyima wananchi hao haki ya kutoa maoni yao au kukosoa uongozi katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Wananchi wanaona kujiandikisha kwa ajili ya kupiga kura ni abrakadabra tu, kwani hawatapata kiongozi wanayemtaka ndio maana wanapotezea zoezi la kujiandikisha. Imebidi waandikishaji waanze kuwafuata wananchi majumbani mwao mitaani walau kupata majina mengi. Hata hivyo walioandikishwa wanasema hawatajitokeza kwenda kituoni kupiga kura, wanaona ni kupoteza muda bure