johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Akiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV