mkaruka ataja rinu
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 3,527
- 2,469
Yeye ndo RC anayejulikana nchi nzima kuliko Ma-RC wote, hata RC wako humjui lkn Makonda unamjua.Kwani Makonda ni nani nchi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ndo RC anayejulikana nchi nzima kuliko Ma-RC wote, hata RC wako humjui lkn Makonda unamjua.Kwani Makonda ni nani nchi hii
Huna akiliYeye ndo RC anayejulikana nchi nzima kuliko Ma-RC wote, hata RC wako humjui lkn Makonda unamjua.
Ni SPIN DOCTORKwani Makonda ni nani nchi hii
Jemy, kwani wewe ni mmoja kati ya hao watokomezwaji?Atatokomezwa yeye
🤣 🤣 🤣Atatokomezwa yeye
Mkuu;Lisu dishi limeyumba
Akili za kiushuzi ushuzi hizi. Cha muhimu ni kuheshimu misingi ya utu. Wewe kama Baba/Mama unaona mwanao anaongeleshwa vile utafurahi?Yeye ndo RC anayejulikana nchi nzima kuliko Ma-RC wote, hata RC wako humjui lkn Makonda unamjua.
Shida ya arusha imekosa viongozi wka miaka mingi haswa nafasi ya mkuu wa mkoa, wilaya. Ni kama huwa wanakuja kupumzika hawajiangaishi na lolote. Is why huku chini wanajitengenezea mianya ya upigajiAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Makonda kama RC ana mahali ana report , kwa bosi aliemteua. Ha report kwako kwa namna yoyote ileMkuu;
Makonda akimaliza ziara yake tunamuomba atupe orodha ya wezi, mafisadi na wala rushwa atakaokuwa amewabaini huko aliko pita na hatua alizowachukulia.
Vinginevyo ni kuwajaza watu upepo wa kisulisuli!

Kwahiyo una shauri nini kifanyike?Mafisadi,wafanyakazi wazembe na wahalifu wengine wana umoja sio mchezo,ukiwagusa lazima wakuondoe.