johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Atatokomezwa yeyeAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Wahojiwa wameandaliwaAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Ni tapeli haswaR.C huyo alisikika akiongea kutoka katika gari aliyodhulumu Dar es salaam
Hafiki 8 8Atatokomezwa yeye
Ni tapeli haswa
Wewe umedhulumiwa nini? 🤣R.C huyo alisikika akiongea kutoka katika gari aliyodhulumu Dar es salaam
Ww ndio hutofika because ICC inakutaka.Hafiki 8 8
Ccm anaikemea ccm lakini anakemea ccm wanyongeAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote,uzuri hao wote ni majizi ya ccm watajuana wenyeweAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
Kwani Makonda ni nani nchi hiiAkiwahutubia maelfu ya Wananchi wa Karatu Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amesema huu moto waliouwasha ni lazima uteketeze Mafisadi, Wezi na Watendaji wabovu wote Ndani ya siku 6
Mamia ya Wananchi waliohojiwa na Waandishi wa habari wamesema kwenye hii Vita wako pamoja na Mkuu Wao wa Mkoa
Source: Jambo TV
RC 🐼Kwani Makonda ni nani nchi hii
bashite wa kolomijeKwani Makonda ni nani nchi hii