RC Makonda ateuliwa kuwa mshauri wa bodi ya Simba

Hii timu yangu inaelekea kufeli!! Ishakuwa timu ya kiki! Kutaka sifa na ulinzi wa serikali ya awamu y 5
 
Ntarudi kushabikia hiyo timu huyo ziro brain akiondoka kwenye hiyo position.
 
Makonda ni Mshauri mkuu ,ktk masuala yote ya Club , kwahiyo Magori , Yule CEO na Fatuma Dewji watakua wanatoa ushauri lkn Makonda ndio Mshauri mkuu ?

OK , Simba wao muhimu ushindi hayo mengine atajua mwekezaji

MTC | 101| [emoji769]
 
Mkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba

Kaa ni kweli hilo ni kosa la mwaka ...mwisho wa Simba umekaribia...mark my words...
 
Atakachakifanya huyu mshauli mkuu ni kuhakikisha simba inashìnda mechi zote iwe kwa uwezo au kwa kushinikiza waamuzi na lengo ni kuhakikisha wabasimba wanaaminishwa haya yote bila yeye yasingewezekana japo lengo kuu ni kujijenga kisiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya viongozi ambao jamii Ina mtazamo hasi nao(maoni kwenye mitandao) Mh Makonda anaongoza. Jamii hasa ya wasomi bado Ina usongo na mtu ambae inamwona amekalia ofisi bila sifa za kitaaluma zaidi ya KKK, kwani hoja ya kughushi vyeti vya shule haijafutika. Ushauri wowote toka kwake hupokelewa na wasomi bila kuzingatiwa, hauthaminiwi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, ubingwa back 2 back ,Miaka 10 ( kwa sauti ya Manara)

MTC | 101| [emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…