Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Reference: Taifa stars na Afcon
Nadhani sababu ziko 2 ...Nadhani kuna sababu iliyofanya huyo jamaa ateuliwe na si mpira
Mkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba
Laa sivyo atayabumbuluwa!Nahisi uamuzi wa kujiuzuru Mo ulikuwa nia yake thabiti lakini mtekaji aliingilia kati na kumlazimisha mateka wake aendelee ili aingie kwenye bodi
Huyo jamaa ni bonge LA gundu.Tangu Makonda amsifie Manula mabalaa yamemwandama kijana wa watu.
Hahahaha, ubingwa back 2 back ,Miaka 10 ( kwa sauti ya Manara)Atakachakifanya huyu mshauli mkuu ni kuhakikisha simba inashìnda mechi zote iwe kwa uwezo au kwa kushinikiza waamuzi na lengo ni kuhakikisha wabasimba wanaaminishwa haya yote bila yeye yasingewezekana japo lengo kuu ni kujijenga kisiasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuwekee basi hata na kaushaidi kuthibisha hii taarifa.Mkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba
Mkuu uyo Mo bado ni mateka wa bashite, US wameshaanza kumfanyia kaziYani mtu alipata ziro form four leo amshauri senzo, mo n.k