Kweli si bureMkuu uyo Mo bado ni mateka wa bashite, US wameshaanza kumfanyia kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Juhudi za bashite zimeipeleka simba hatua ya makundi CAFHii timu yangu inaelekea kufeli!! Ishakuwa timu ya kiki! Kutaka sifa na ulinzi wa serikali ya awamu y 5
Kafanya juhudi gani?Juhudi za bashite zimeipeleka simba hatua ya makundi CAF
ποΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ Nimemkumbuka tu bashite leo..Kafanya juhudi gani?
Au ndio "pongezi kwa serikali ya awamu ya 5, nimejaaliwa kupata mtoto wa kiume? "
Kiki tu zile, kujipendekeza kwa wenye mamlaka(nguvu)[emoji2772][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimemkumbuka tu bashite leo..
Hivi huu ushauri uliishia wapi?
Au MO baada ya kumuona hana mamlaka kantosa
Nilimuona somewhere hana ulinzi wala nini sasa najiuliza wale maadui aliojijengea wakitaka kumnyakua ni easy sanaDaud sasa hivi anaishi kama digidigi
Maisha gwarideAlitumika kama toilet paper
ππππMkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba
Sababu ipi?Nadhani kuna sababu iliyofanya huyo jamaa ateuliwe na si mpira
labda UtekajiSababu ipi?
πππππ
Ngoja tumuulize MOhivi hiki cheo huyu bwana kavuliwa lini
Well notedMkuu wa mkoa wa Daressalam Mh Paul Makonda ameteuliwa kuwa mshauri mkuu bodi ya timu ya Simba