RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Habari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.

Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!

Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.
Ila ya shilawadu na yule mwana mke ni ya kweli
 
Sasa naamini kuwa mkulu na Daudi no washirika. Kitendo chake cha kupiga simu nakusema anapenda kuangalia kipindi cha Shilawadu ili kuwa ni kukipromote kipate watazamaji wengi kabla hawajashusha mkakati wao.
Daud kamshika vibaya mkulu, na anamwingiza kwenye mambo ya kijinga atakayojuta sana.
Kama ni kweli katumia askari wenye silaha basi lazima ana kinga ya juu ndio maana hana hofu ya Sirro kutumia vijana wake kufanya ujambazi huo
Umeona enh?! Mi watu nimewaambia jana Mkulu alikuwa standby akisubiri kula ubuyu wa Gwajima live bila chenga halafu jamaa wamemzingua!!!
 
Mkuu wa mkoa wetu mtu makin sana hawezi fanya hayo madudu weken ushaidi mezani kama mnavyotaka vyeti toka kwake
Kuzaa hata Mwingila alishutumiwa kuzaa na muumini wake hili si jambo la ajabu maana tumeshawazoea viongozi wetu wa Dini,
 
Ni kwa nini Rais hachukui hatua kwa huyu mtu?je yeye ndie anae mtuma kufanya hayo mambo?
Nchi imekuwa kama genge la wababe wawili wanaotesa wanyonge kwa matakwa yao,hii habari imeenea kila kona mpaka inakera kwa kweli
Ubashite ni mzigo sana
 
Kama ni kweli Bashite kafanya vurugu kwa kiwango hiki, basi Ruge ni mlaini zaidi ya biscuit.
Hivi Magu kalishwa nini na huyu mwehu anashindwa kumtumbua?
 
Yaani kila siku MAPYA hadi raha sana huu mchezo ukitaka kufaid kuwa neutral utafurahi na ROHO yako.. Leo nimecheka Sana yule mdada anasema amezaa mtoto na Gwajima ETI anadai huyo mtoto mjanja mjanja kama Gwajima Sasa Nikajaribu ku imagine asee nimecheka Sana ETI mtoto mtundu mtundu Muda wote
Kumbe Mchungaji ni mtundu mtundu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom