Sio kufukuzwa tu, inabidi aende jelaHuyu dogo anafanya mambo ya Kitoto, ikidhibitika afukuzwe Kali. Aibu tu
Ila ya shilawadu na yule mwana mke ni ya kweliHabari kama hizi za kichochezi na za uzushi ndizo zinazotuponza wanaJf mbona tuliokuepo mjengoni mda huo hatujasikia lolote na hakuna chochote kilichotokea.
Au umetumwa?
Clouds ni taasisi kubwa inayoongozwa kwa misingi na taratibu zake haiwezekani mtu from no where aje tu aingie mpaka peoduction bila kufata utaratibu!
Acha uzushi watanzania puuzeni hizi taarifa si za kweli!!.
Nimejaribu kuangalia seriousness ya anaye ongea nimeona hapo hakuna ukweli wowote. Yaani mdada anaongea huku yupo so simple.Mimi Gwajima simkubali kabisa...ila ile Clip imetengenezwa kumchafua
Umeona enh?! Mi watu nimewaambia jana Mkulu alikuwa standby akisubiri kula ubuyu wa Gwajima live bila chenga halafu jamaa wamemzingua!!!Sasa naamini kuwa mkulu na Daudi no washirika. Kitendo chake cha kupiga simu nakusema anapenda kuangalia kipindi cha Shilawadu ili kuwa ni kukipromote kipate watazamaji wengi kabla hawajashusha mkakati wao.
Daud kamshika vibaya mkulu, na anamwingiza kwenye mambo ya kijinga atakayojuta sana.
Kama ni kweli katumia askari wenye silaha basi lazima ana kinga ya juu ndio maana hana hofu ya Sirro kutumia vijana wake kufanya ujambazi huo
Mkuu kama hii habari ni ya kweli nchi hii itakuwa imefika kubayaKabisa yaan kajikamatisha
Kuna mdau kasema, ilikuwa ni njama iliyopangwa mkuu aseme anapenda kutizama Shilawadu ili wavute watizamaji wengi, kisha wakamilishe mpango wao wa clip ya kutunga...SHIWALADU NI KIPINDI PENDWA CHA MUKULU
Kuzaa hata Mwingila alishutumiwa kuzaa na muumini wake hili si jambo la ajabu maana tumeshawazoea viongozi wetu wa Dini,Mkuu wa mkoa wetu mtu makin sana hawezi fanya hayo madudu weken ushaidi mezani kama mnavyotaka vyeti toka kwake
Mambo??Paukwa
Pakawa
Mungu hamfichi mnafikiKuna mdau kasema, ilikuwa ni njama iliyopangwa mkuu aseme anapenda kutizama Shilawadu ili wavute watizamaji wengi, kisha wakamilishe mpango wao wa clip ya kutunga...
Ila ndo imebuma
Kumbe Mchungaji ni mtundu mtundu[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Yaani kila siku MAPYA hadi raha sana huu mchezo ukitaka kufaid kuwa neutral utafurahi na ROHO yako.. Leo nimecheka Sana yule mdada anasema amezaa mtoto na Gwajima ETI anadai huyo mtoto mjanja mjanja kama Gwajima Sasa Nikajaribu ku imagine asee nimecheka Sana ETI mtoto mtundu mtundu Muda wote