nimetoka huko ni hatarimange kachafukwa huko insta
Kesi ya tumbiri unampelekea ngedere?waliopigwa hawakwenda kushtaki
Anajiabisha sana...Huyu bashite mbona hapendi kutumia akili hivi
Vyeti kwanza. DNA itafuataKama anasingiziwa akapime DNA tuendelee na mambo mengine
Tribalism, favoratism at workSizonje anamla maamae tigo+ukabila
Ha ha haaaaaaaView attachment 483065 ukifariki kipindi hiki utamiss mengi Sana
Same to me. Nilikula block ikabidi nifungue nyingine.Imenibidi nifungue account mpya kwa jili ya mange ya kwanza aliniblock
Halafu macho makavu kabisaNimejaribu kuangalia seriousness ya anaye ongea nimeona hapo hakuna ukweli wowote. Yaani mdada anaongea huku yupo so simple.
Yaani kiukweli hata kama Gwajima is not my choice lakini kwa hili naamini ni uongo kabisa.