RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

 
Tahadhari hii ya mamlaka makubwa vijana wadogo nilisha itoa mapema sana , vijana bado wana mambo mengi ya ujanani hasa wa kiafrica hususani wa kitanzania. wabaki nafasi sizizo na mamlaka pekee.
 
Ah! Sikiliza wewe... mengine yooooooooote ni nakshi nakshi!! Hoja ya msingi ni kwamba SHILAWADU walifanya mahojiano na mwanamama anayemtuhumu Gwajima! Je; hili nalo ni uongo?!

Hoja ya pili ni kwamba, kwa story za aina ile, SHILAWADU huwa wanarusha Clouds TV siku ya Ijumaa!! Je, hilo nalo ni uongo?!

Hoja ya tatu, hiyo story haikurushwa Clouds hiyo Ijumaa! Je, jilo nalo ni uongo?!

Hoja ya nne ni kwamba, hivi sasa hiyo story inasambaa Instagram baada ya kutooneshwa Clouds! Je, huo nao ni uongo?!

Hoja ya tano ni kwamba, msambazaji wa mwanzoni kabisa wa hiyo story ni Le Mutuz... Mtetezi #1 wa Daudi Albert Bashite!!! Hata Mange mtu wa nyeti, amechelewa kupata hizo clips ukilinganisha na Lee Mutuz ambae alizirusha Instagram takribani saa 7 zilizopita!! Je, huo nao ni uongo?!!
 
Mmh kisa mange kaandika hii story basi watu mmekurupuka kuiamini na kuileta humu aisee mnaharibu hadhi ya jf
 
Bashite ni kilaza anajisaidia haja kubwa anapolala. Haelewi hao Clouds ndio waliokuwa wanampa airtime nyingi. There is something wrong in his brain...wafadhili wake ndio anawanyanyasa na kuwakera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…