RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Halafu nadhani amevamia na JF manake ule uzi ushaondolewa!!!
 
Dunia bwana, askofu ana cheti cha 0 cha jamaa, hajakitoa hadi leo, lakini watu wamepata cheti cha mtoto wake hata hawajatangaza, wamekirusha

Raha sana huu ugomvi, mwenye nguvu na ashinde
 
Ningekuwa mshauri wa Gwajima ningemshauri amkubali huyo mtoto anayesingiziwa, Gwajima atoke hadharani aseme jamani kweli huyo mtoto ni wangu so kuanzia Leo naomba nifuate taratibu zote nimchukue.......halafu tuone kama Huyo mama atakubali mtoto aende kwa baba asiye wake au kama baba wa mtoto atakubali huo ujinga.
 
Badala ya Gwajima kuchafuliwa nadhani yeye ndio anazama zaidi, itabidi shilawadu wamuulize yule mwanamke amelipwa sh. ngapi?

Hivi hizo studio hazina CCTV camera ambazo zimerekodi huo umafia Wa Mtoto Wa mfalme?
 
Point
 
hivi anavyofanya ndio watu wataamini madudu yake bora angeendelea kukaa kimya tu
 
Hiki cheti cha clinic mbona hakina jina la clinic iliokitoa??
Mbna hakioneshi aina ya muhudumu aliemzalisha mama?
Hakioneshi mahali mtoto anapoishi??
Picha inahoonesha wajihi wa mtoto haiendani na tar aliozaliwa(mtoto anaonekana mkubwa kuliko muda uliojazwa kwenye kadi)

Mmefeki majina yenu, ila kadi ya clinic imewashinda kufake
 
Tatizo ngwajima akitaka kumlipua makonda analipua tuu...manake yeye ndo mwenye madhabau...

Hata iwe umbea anamlipua...


Mange akitaka kumlipua anafanya atakavyo too huko mitandaoni..


Sasa makonda yeye mpaka ahonge kwa ruge na shiliwadu..

Wenzake wanaplatform tayari...
 
Hiyo ndiye kipenzi cha mh. Anakunya sebuleni mavi anayazoa baba. Haya yetu macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…