RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Ahaaa ndio maana hata bosi wake bashite akatangaza anawasikiliza na kuwapenda shilawadu,jamani hawa watu wenye mbinu mbaya sana, Hii serikali ni mbaya sana.
 
Ahaaa ndio maana hata bosi wake bashite akatangaza anawasikiliza na kuwapenda shilawadu,jamani hawa watu wenye mbinu mbaya sana, Hii serikali ni mbaya sana.
siku niliposikia yule mzee anaisifia show ya shilawadu,moja kwa moja nikajua kuna project inapangwa ili kuwaandaa watazamaji wao kiakili.

angalau sasa tumejua kuwa Jpm anashiriki kwa hali na mali ktk kupanga mikakati ovu dhidi ya maadui wa daudi bashite.

hakika haya sio mahaba ya kawaida kati ya bashite na mzee yule.
 
Ila ungeweka hiyo footage ingekuwa nzuri sana
 
Samahani lakini...ivi mwanaume kutupia mbegu na kisha mungu akawezesha mtoto si ndio kiume..!?? Sasa shida iko wapi hadi kiwe kipindi cha kisisimua..wenye umri kama wangu mtakumbuka wakati mzee lyatonga mrema akiwa kwenye peak alitengenezewa pia mchezo kama huu...mi nadhani wasituondoe kwenye reli yale makaratasi bado ni muhimu
 
Hatari sana!
 
Kama kweli makonda kuyafanya au kama clouds mmeyafanya mjue mnajidhalilisha
 
Naona mwisho wa makonda ukiwa mbaya kabisa na kuna hatari ya kuishia gerezani
 
Huyu dogo apimwe marinda jamani..
Sio bure.. Kwa nini wanapendana hivi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…