Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mimi bado siamini kama kweli kiongozi wa umma anaweza akayafanya hayo na hadi leo hii bado hajafukuzwaKama hili sakata la kuvamia CLOUDS ni kweli basi Makonda hastahili kuwa kiongozi. Raisi amuite mara moja amhoji na akikubali amtumbue.