RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Katika ile video yule mama alidai kufanya mapenzi na gwajima chini ya mazabau na hapo hapo anaingelea vyumba tisa vilivyopo. Sass hivi vyumba ndyo mazabau?
 
Mh! Kama hii habari ni ya kweli yumkini tunaongozwa na jambazi. Else itakuwa majungu.
 
Katika ile video yule mama alidai kufanya mapenzi na gwajima chini ya mazabau na hapo hapo anaingelea vyumba tisa vilivyopo. Sass hivi vyumba ndyo mazabau?
Halafu kasema mimba kapatiwa kipindi kampeni za uchaguzi mkuu zinaelekea mwisho, tuseme mwezi Octoba 2015. Sasa mtoto kazaliwa Desemba 2016 baada ya kukaa kwa tumbo miezi si chini ya 14...

Is that realistic? Au ndiyo ile kusema mwongo lazima awe na kumbukumbu imempiga chenga?
 
Tatizo aliyemmezesha maneno ni dvsn zero. Hata hesabu hajui
 
Utakuwa sio mfuatiliaji wa matukio nchi hii .
Nafatilia sana mkuu....habaru ya huyo dada naijua..na habari kuwa huo ni mchezo wa bashi naijua...tatizo sijaona huyo mtu aliyeisifia shilawadu....AU NI WEWE NA MASHOGA ZAKO NDO MLIMSIFIA?
 
Tatizo aliyemmezesha maneno ni dvsn zero. Hata hesabu hajui
Nafikiri hilo ndilo tatizo, na litawasumbua sana.
Zama hizi kila kitu kinahojiwa, na ukikosea step watu wanakuchana live.
Lazima kutembea kwa makini.
 
Unaposema madhabahu ni eneo lilotengwa kwa ajili ya kuhubiria. eneo hili liko wazi na Mara nyingi huinuliwa huu kidogo ili kila mmoja aone kinachoendelea mbele. kama kuna vyumba haviko madhabahuni labda ni ofisi za kanisa za kufanyia shunghuli zingune.. na wakati ibada ibaendelea si rahisi mchungaji kutoka mpaka ibada itakopoisha.. sasa tujiulize hivyo vyumba tisa madhabahuni viko kweli? jamani hata kama mchungaji kaamua kufanya hivyo kwan razima iwe wakati wa ibada? Mh jamani USHILAWADU HUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…