RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Safi sana now Clouds wamemjua vizur Bashite, hana permanent friend...
 
sasa ni ukweli usio shaka kuwa kuna vita kubwa sana dhidi ya paol Makonda na imefikia hadi watu wanatangeneza kudai video eti kuuaminisha umma kuwa ni makonda kwenye iyo video. Jamani achani propaganda uchwara na kwa taarifa yenu hizo propaganda zenu uchwara ndo zinasababisha magufuli awaone hamna la maana zaidi ya vita binafsi dhidi ya makonda.
Mliotengeneza video hiyo mlichokosea ni kuwa Mkuu wa mkoa halindwi na askari wanaovaa mabaka mabaka(kwa tanzania ni JWTZ), pili ni kuwa Jeshi Polisi Tanzania halina nguo za mabaka mabaka kama kenya na tatu ni kuwa Jwtz hawajihusishi na shughuli za usalama zilizoko chini ya polisi. Alafu how comes JW waende clouds wameshika bunduki alafu polisi asishike bunduki????? kweli kitengo cha propaganda dhidi ya makonda na mange wenu. Period.
 
Mambo ya ajabu na aibu sana.
 
Wewe na Bashite mnazidi kumuweka rais uchi.

Mtaficha wapi sura zenu??
 
Nakubaliana na wewe Kiongozi. RC kuvamia kituo cha habari akiwa na kikosi kamili cha jeshi chenye silaha za kivita kulazimisha habari "azitakazo" zitangazwe ni zaidi ya hatari. Angeweza kuwehuka, akavimba kichwa akatangaza mengine! Sijui kama wakuu wanaona hatari ya huyu mtu!
 
Halafu hao Askar ukiwaangalia kwenye hiyo footage walikuwa wanahofu sana, it seems like they are executing Illegal Order
 
Ruge alikuja na bastola ila gaidi Bashite alikua ameshaondoka na jeshi lake.
Ndio tuseme sasa angemkuta Ruge ama Kusaga halafu wakamkatalia kuingia akataka kulazimisha kama alivyo fanya kwa hao kajamba nani ..unafikiria sasa hivi tungekuwa tunaongelea nini ?

Hawa wafanya kazi wa chini walishindwa kumzuia Makonda kwa sababu ana mahusiano na maboss wao hivyo wakamuacha afanye anachotaka

Huu ni upumbavu wa hali ya juu najaribu kufuatilia ile Clip nijue kama ni wanajeshi wa JWTZ wale aliokuwa nao ama la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…