RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Huyu jamaa sielew yan anaenda shinda clouds km mtangazaj
Wajanja wa mjini huwa wana marafiki wa tangu utotoni, jamaa kapewa ukuu basi ushikaji na kila mtu kisa wanajulikana na ndio gharama za marafiki wapya inabidi asote kwa kujipendekeza
 
Ila kam ingekua movie konda anafaa sana kwenye movie izo......
 
Clouds mmemgeuka makonda ehee mmevujisha video amjui makonda ndio rais wa Dar
 
Ila hata kama ya ni kutengenzwa asee mi nimeipenda hivohivo duuh....!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] bashite kama Jumong
 
Ah! coco bhana... najua unajikaza ki-soap tu hapo, huna lolote!!! Ukibeba mzigo ukakuzidi nguvu; unaudondosha tu... simple! Back then, mwenzako nilikuwa namteteaga Bashite humu lakini hili zigo la safari hii nilipoliona tu; kwa mbaaaaaaaaaaaaali; nikajua ni zigo la misumari hili; halibebeki!!! Mwenzako mapeeeeeeeeeema; since day one nikasema hili la safari hii ni lako peke yako; na wala sitakaa kimya... nitakuwa nakutandika barabara as if sijawahi kukutetea huko nyuma!!!

Kwahiyo endelea tu kujikaza ki-soap! Chozi likikukaba liachietu hata kwa mayowe na nitakubembeleza!!!
 
Siku mukulu anatahamaki mara Bashite katinga ndani ya mjengo akiwa na magenerali wa jeshi ndo atajua alaaaa kumbe ndivyo ilivyo!!
 
ndo umegundua leo? Le mutuz=cocochannel=lizabon....hizo tatu ndo nina hakika nazo kwamba ni mtu mmoja,lijinga sana lile li baba na siku hizi si wasanii si mabilionea wanalikwepa ndiyo maana linakazana bashite asianguke maana sehemu pekee aliyonayo ya kuokoteza visenti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…