RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Footage zimevuja mitandaoni na zinaonesha kila kitu we unaejidai ulikuepo mjengoni mda huo tukueleweje? Usikurupuke kuandika ili watu wajue kuwa nawe huwa unakuepo pale...
 
Inawezekana kuna u kweli wake,wote walio tajwa haha wajitokeze wakanushe hii habari.
 
Swali la msingi.. Je Clouds TV mmeshapress charges against Makonda?
 
Hiyo ni taasisi ya habari. Tena tunaambiwa vyombo vya habari ni Huru...mhimili wa nne...vinavamiwa hivi...what about Mimi na wewe? No wonder watu wanapotea without a trace kama mambo zenyewe ndio hivi.
 
Huyo ni Mrs daudi asikuumize kichwa tehe tehe tehe
 
~~~>>>Ni kichaa pekee anayeweza kuvamia kituo na mitutu halafu afikiri itabaki kuwa siri....

Huyu jamaa akapimwe akili mara moja.
 
Now I can believe in the poor country even idiot people ( mange kimambi, drug deller &politicians ) can smell to be a LEGEND
[HASHTAG]#MAKONDAVITAYAKOVITAYETU[/HASHTAG]
 
Hivi hiyo clip imetolewa na Clouds au staff mmoja ameivujisha? ndo nawasha kimeo changu hapa msishangae swali langu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…