RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Sidhani kama clouds wangeingia mkenge wa kuharibiwa brand yao waliyoijenga kwa miaka mingi!

Ngoja tusubiri majibu ya ruge kesho asubuhi!

Ila akijiroga kumtetea tu kwisha habari yake
 
Kama sio uvamizi nijibiwe maswali haya.
Kuna utaratibu wa watu wasiokuwa wafanyakazi kuingia studio muda ule kwa staili ile?
Kulikuwa na haraka gani ya kufuata kazi yake usiku ule?
Kuvamia sehemu ni lazima wavamizi waonyeshe kibabe ndio uitwe uvamizi?
 
Nilikuwa na mawazo kama yako. Huu mpango utakuwa umesukwa.. ili mkulu asionekane mbaya.. na makonda aondoke salama.
Lakin akimtumbua kwa ishu ya vyeti... RC atakuwa amepoteza mvuto wa kisiasa.. na mkulu ataonekana ni mkumbatiamaovu.
 
clouds wamejitakia wenyewe kudhalilishwa na huyo Bashite kwani wao kutwa kucha walikuwa wanamrusha kwa ishu za magumashi. sidhani ITV au channel 10 anaweza Fanya hivyo
Kile kituo kimekaa kisela sela mno. Kila mtu ni msela msela pale
 
BASHITE SIJUI UTALAMBA VIPI UNYAYO WA ASKOFU.KWELI NGOMA IKIVUMA SANA HUPASUKA.MTOTO AKILILIA WEMBE MPE.CHA MOTO UNAKIONA.
 
KUNA KILA DALILI YA KUTUMBULIWA MTU KUANZIA KESHO, hii akaunti facebook ni ya nani
 
Kweli kama ya kitwanga kulewa na hii ndo hvy hvy but lazima ashtakiwe kwa kutembelea magari ya hongo
 
Nitamuamink Magufuli kama atamtumbua nakonda , hata kama hayo yasemwao hahusiki ila kiongozi mkubwa kutuhumiwa kwa kashfa nzito namna hyo inatosha kupumzka kbsa,,Kama rais atamuacha aendelee na nyazifa zake binafsi chchte atakachokua anaongea mh nitakipuuza tu
 
xx c useme umecop n kupaste kwa mange!
 
Mi siamini kwamba imepangwa sababu kama imepangwa Je Gwajima naye kahusishwa!? Maana leo kaichambua ishu nzima. Kwa vielelezo na mwisho akatoa copy ya matokeo ya Bashite yanaoonyesha Kapiga "F" zilizonyooka
 
Ebwana umenena Sana nduguyangu kwani kila siku tunawasikia wakipongeza hata ziara za Bashite Dar es salaam Clous Tv walikuanae
 
Ukiiangalia kwa umakini, hii kashfa imepikwa makusudi kama ile ya kitwanga.

Lengo mkuu wa nchi aonekane amechukua maaumuzi, lakini sio swala la vyeti.

Atamtumbua kwa matumizi mabaya ya madaraka na sio vyeti.

Clouds hawawezi kumgeuka makonda kirahisi hivi,
 
Asepe tu kwa vyovyote vile...ila ahame nchi akibaki hapa atajuta..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…