RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Wadau naona vyombo vya habari vimeandika sana kituo cha Clouds TV kimetekwa baada ya kufuatilia ikiwa na kumsikiliza Mkurugenzi wa kituo.

Sijaona utekwaji uliofanyika kwa uelewa wangu. Yafuatayo yangefanyika ningeona kuna utekaji

1. Mtekaji angeingia kituoni angetoa maelekezo ya nini kifanyike nje ya utaratibu wa kipindi mfano: Unasikia amri inatolewa kwa wananchi na watu tungesikia hicho kilichotamkwa.

2. Kuingia na Silaha hapa watu wanaelewe kitu kimoja kuna watu wanaitwa VIP hawa wanaweza kutembea na walinzi wenye silaha mahala popote hata kwenye nyumba za ibada kama hali ya uusalama dhidi yake ni tishio na muda ambao tukio lilifanyika ni usiku hivyo ulinzi unatakiwa uimarike zaidi kwani wahilifu wengi ni rahisi kumdhuru mida hiyo kwa hiyo kama muhusika ni VIP Basi hapo hakuna kosa la kwenda na silaha.

3. Mkurugenzi ktk taarifa yake aliulizwa swali kama inavyoenea kwenye mitandao kuna watangazaji walipigwa mitama na vitako vya bunduki akakanusha hakuna mtu aliyepigwa wala uharibifu.

Nawasilisha kwa kusema hakuna utekaji uliofanyika kwa uelewa wangu. Vyombo vya habari tena kwa pamoja hawajaliona hili kweli basi waone na wakanushe kwa kurekebisha neno hili.
 
Waziri wa habari kishaunDa timu ya kuchunguza hli suala nDani ya saa 24, ikibainika ni kweli yaliyosemwa yalifanyika HATUA STAHIKI ZITACHUKULIWA
+Nlichoona kingne ni kwamba kulikua na hali ya NIDHAMU YA UOGA ktk hli, ni habari ngp huwa zinarushwa ilhali Story balancing hajafanyika??..Sometimes ni simu anapigiwa mhusika Inaishia KUITA TU Hku stori yte ishaelezwa, ss walishwinDa nn kutumia utaratibu huu ?..In short hamna WELEDI wwte uliofanyika ktk hili ni NIDHAMU YA UOGA TU
 
Rudi shule mkuu....elimu elimu elimu
Rudi na ww,elimu Bure kitambo..
Mazingira walishayatengeneza wao Kitambo, ss wanabwata nn?.Nothm more zaiDi ya kulinDa maslahi yao,the lesson here is "BE YOURSELF NO MATTER WHAT"..ss km walishaamua(clouDs) kutumika,acha watumike tu, Mwanamke mzuri asiye na akili ni sawa na pete ya Dhahabu kwenye pua na nguruwe
 
Huyu jamaa iko siku ataua na kama magufuri hataelewa kinacho endelea ujue iko siku atajuta kwanini hakusikiliza malalamiko ya watu juu ya mkuu wa mkoa alie mteua na kumpa jeuri.
 
Kwani Ruge si WA clouds, mbona kesha confirm hii story au mjengo gani unaongelea?
 
Mungu atawaumbua tu na huu ni mwanzo.ni.nimeamin kwamba walitaka kumtengenezea kes isiyo na uhalal gwajima wa watu.na mutaumbuka safar hii laana imeanza kuwaingia kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…