RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Habarini wadau,

Nimesoma taarifa kwenye vyanzo tofauti vya habari na jana tu Maria Sarungi na Watanzania wengine wenye ushawishi walipost picture na wakasema wana full clip inayoonesha jinsi ambavyo RC huyu wa Dar es salaam alihusika katika tukio moja kubwa la kihalifu lililogharimu maisha ya watu.

Ikiwa kweli watapost video hiyo iliyorekodiwa kwa CCTV camera, na kuhoji tukio hilo mpaka kufikia kwenye ngazi fulani fulani huenda huyu. Mtu akatumbuliwa katika nafasi aliyonayo na kuchukuliwa hatua kali.

Sehemu ndogo ya picha ifuatayo amepost Mch. Josephat Gwajima.

C7QyDbqXgAAmoBz%20(1).jpeg
 
Wasukuma bwana!
Hivi inaweza kutokea watu mnatoka sehemu moja halafu mnapigana vita!
Mara mwingine amtuhumu mwenzie kuwa anahusika na madawa ya kulevya, mwingine atoe siri za maisha ya mwenzake!
Kilimanjaro hakuna hakuna hakuna hakuna huo upuuzi!
 
Mbona hili swala tulishajadili sana humu?? au kuna swala jingine jipya??
 
Wasukuma bwana!
Hivi inaweza kutokea watu mnatoka sehemu moja halafu mnapigana vita!
Mara mwingine amtuhumu mwenzie kuwa anahusika na madawa ya kulevya, mwingine atoe siri za maisha ya mwenzake!
Kilimanjaro hakuna hakuna hakuna hakuna huo upuuzi!
Mkuu, wakati mwingine hayo huwa ni maigizo tu. Siasa na kutajwatajwa ni mapacha. Huwa ni michezo tu.
 
naona zawadi ya tecno wajftishe kwenye graduu ya form four inafanya kazi yake
 
Back
Top Bottom