Unaniangusha mkuu, inakuwa kama sio GT? Tukio LA clouds liligharimu maisha? Nadhani tusubiri labda kuna kitu kinaandaliwa!Mkuu mletamada, hii ni ya zamani au ndiyo Dude limeamshwa upya? Ha ha ha ha ha ha
Nakusalimia sana mkuu NAKWEDEWasukuma bwana!
Hivi inaweza kutokea watu mnatoka sehemu moja halafu mnapigana vita!
Mara mwingine amtuhumu mwenzie kuwa anahusika na madawa ya kulevya, mwingine atoe siri za maisha ya mwenzake!
Kilimanjaro hakuna hakuna hakuna hakuna huo upuuzi!
Liligharimu vipi maisha?? fafanua mkuu maana naona labda kuna jambo wenzetu mnalifahamu halafu mnafikiri kila mtu analifahamu. JF is where we dare to talk openly zungumza tu mkuu, na ukizingatia sana leo bosi ndio anapokea tuzo, jimwage.Unaniangusha mkuu, inakuwa kama sio GT? Tukio LA clouds liligharimu maisha? Nadhani tusubiri labda kuna kitu kinaandaliwa!
Ahsante kiongozi. Mie sijambo kabisa. Mwanza tuko busy na maandalizi ya ugeni wa Waziri Mkuu na baadae Mheshimiwa Rais kwenye sherehe za "Tisa Desemba"Nakusalimia sana mkuu NAKWEDE
Azarel, Hii si ile ya clouds kipindi Ruge yupo hai, haya si mkuu alishamkingia kifua au kuna lipi lingine tena
Mkuu mletamada, hii ni ya zamani au ndiyo Dude limeamshwa upya? Ha ha ha ha ha ha
Exactly tutulie watu washushe mzigo ,dalali was waganga sijui atafanyaje Safari hii kuukwepa huu msala .Nilivyoelewa ni kwamba hiyo picha ilivyopostiwa inamaanisha kwa kuwa hicho kitendi cha kwenda mawingu kilikuwa ni uvamizi, na kutafsiriwa kama uhalifu then kuna mambo mengine ambayo records zipo na zinamlenga P, hivyo hiyo imetolewa kama reference tu kwa kuanzia ili kuakisi hayo mengine ambayo yapo nyuma ya pazia...
Hivyo ipo episode nyingine kali zaidi!!
Mjini akili NAKWEDE kijijini nguvu!.Wasukuma bwana!
Hivi inaweza kutokea watu mnatoka sehemu moja halafu mnapigana vita!
Mara mwingine amtuhumu mwenzie kuwa anahusika na madawa ya kulevya, mwingine atoe siri za maisha ya mwenzake!
Kilimanjaro hakuna hakuna hakuna hakuna huo upuuzi!
Mkuu niko huku miaka dahali, yaani nilichokiona wasukuma hawapendani, sio rahisi kuona akimuinua ndugu yake aliyefeli hata kama ana huo uwezo. Nikupe mfano mdogo, si unaona kuna wasukuma wengi mnapiga vita JPM, nikuhakikishie kuwa endapo EDO angepata kuwa rais usingesikia asilani mtu wa kaskazini anamsema vibaya hata wale wa CCM. Huku hampendani! ndugu kwa ndugu wanaoneana wivu akiona ndugu yake wa damu kapata helaMjini akili NAKWEDE kijijini nguvu!.
Endeleeni kuchezewa akili wasukuma ndio tushaishika nchi
Wasukuma bwana!
Hivi inaweza kutokea watu mnatoka sehemu moja halafu mnapigana vita!
Mara mwingine amtuhumu mwenzie kuwa anahusika na madawa ya kulevya, mwingine atoe siri za maisha ya mwenzake!
Kilimanjaro hakuna hakuna hakuna hakuna huo upuuzi!
Kuna jimbo ambalo wanataka kumtengenezea Makonda ila bado halijakaa njemaKuna jimbo kwao huko linagomba niwa
Mbona hili swala tulishajadili sana humu?? au kuna swala jingine jipya??