RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Nakwede tunapendana sana tena sana! Na kura za Wasukuma ndizo zimemfanya Magu kuwa hapo maana ni alizizoa ajabu na kumbuka tuko wengi sana kushinda kabila lolote!

Tunampinga kwa sababu anafanya ushubwada sio matarajio yetu, sisi wasukuma hatutaki mandege wala malami hatujawahi kuwa na uhitaji wa mabarabara sisi ndio maana ujenzi wa lami kwa wasukuma ni uondoshaji wa fursa kwa wenyeji.

Wasukuma tunataka mahela tu, wasukuma utueleze habari za shule tutakuangalia tu alafu tukutukane.
Tunampenda Magu Heche asingeshindwa ubunge wa Nyamagana kama mgombea urais asingekuwa Msukuma!
 
Liligharimu vipi maisha?? fafanua mkuu maana naona labda kuna jambo wenzetu mnalifahamu halafu mnafikiri kila mtu analifahamu. JF is where we dare to talk openly zungumza tu mkuu, na ukizingatia sana leo bosi ndio anapokea tuzo, jimwage.
I tried to read between lines, Mimi sio mtoa posting nasubiri mtoa posti ajimwage!! Nadhani na wewe ni GT unajua kusoma kwa kina!!
 
Jamaa kaishi marekani miaka 25 alichoambulia dk za mwisho ni kujipendekeza kwa matajili
Nasikia yeye pia haruhusiwi kukanyaga Marekani,pale alipo ana watoto kule lakini anaishia kuwaona mtandaoni tu na hana hata uwezo wa kutoa child support.Hopeless mutherfanta,u know...
 
Post ya March 2017. Kumbukumbu nzuli sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa Dar na Tz kwa ujumla, wana mahaba niue, hata mgombea awe na kashfa gani, atachaguliwa tu, kigezo ni ccm.
Hachaguliwi, ANATANGAZWA!

WaTz Ni watu makini hawachagui majizi na Majambazi ya kutumia silaha, huwa majizi na Majambazi yanatumia mabavu kujitangazia ushindi usiokuwa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…