RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Hawa wasukuma wawili mji wa Dar es salaam umewachanganya.


Mpaka wamalize ngwe yao watakuwa wameacha historia ya hovyo kuwahi kutokea

Nilitaraji mtu mweledi aongoze jiji hili awe mfano kwa wenzie
 
Kweli huyu bashite amefikia hatua ya kutumia bunduki kulazimisha mambo ni ushamba au ulimbukeni, this is too much hata ka magufuli ni kubebebana hii sasa inamwaibisha kabisa.
 
Wakuu hawa shilawadu ndio maana mm niliwaza kuwa kwann wasimhoji Jamaa tuhuma za vyeti feki matokeo yake wanatengeneza video clip za kumchafua Gwajima, yaani swali la kujiuliza ni kwamba kwann wanamkwepa makonda? Kumhoji tumuma zake? Na matokeo wanamsonga baba wa watu,gwajima ametupa ukweli wa mambo mengi sana.
 
Mange ameshalipuka kule instagram ni shida, ametoa masaa kwa soudy kumwomba radhi gwajima lasivyo atawataja wanawake wote waliotembea na ruge na baba jeisca
Mmmh...
 
Mange ameshalipuka kule instagram ni shida, ametoa masaa kwa soudy kumwomba radhi gwajima lasivyo atawataja wanawake wote waliotembea na ruge na baba jeisca[/QUOTE
Kwahiyo RC ni kuwadi wa mkulu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…