RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

RC Makonda avamia Clouds na kuwatisha SHILAWADU

Najaribu kuoanisha kwamba naipenda shilawadu na video kulazimishwa shilawadu... Aiseee
 
Clouds wametishiwa kuweka uchi live, ndo mana wamekuja na maeelezo mengi na hako ka clip.

Tuelezewe na huyo mtoto apo amefuata nini?
 
Kwahio umemaliza hivyo nawewe unajiita great thinker

Mods thread za namna hii zinatupotezea muda humu ni heri zifutwe......JF inageuzwa kijiwe rasmi cha UONGO
Acha kutetea upumbavu wewe... zinakupotezea muda umeitwa humu?! Jumapili leo; kamsafishie Bashite viatu awahi kanisani akalie kama ilivyo kawaida yake!!
 
Kwa hili tukio, akiiachwa na mkuu basi najivua imani iliyobaki ya 0.0006% kwake.
 
Kwenye mitandao ya kijamii hasa facebook na Instagram zinasambaa habari kama moto wa kiangazi kwamba jana usiku kuna kiongozi alivamia kituo chenu akilazimisha habari anayotaka irushwe hewani. Mbaya zaidi habari hiyo ilikuwa na lengo la kumchafua mtu.

Wanaosambaza habari hiyo wameenda mbali hadi kuweka video kuthibitisha madai yao.

Tuliona juzi TBC wakiomba radhi na kuwachukulia hatua waliotangaza habari ya uongo. Leo nawaomba Clouds Media kutoka na kukanusha au kuomba radhi haraka vinginevyo hakuna atakayewaamini tena.
 
Hivi ni halali hii habari kuwekwa humu? Kwani Makonda ni celebrity? Basi sawa maana na huku tumeifuata. Hatujafuata jukwaa bali tumefuata habari! Tupo na Bashite.
 
Siamini hii story kwa zama za sasa bila kuwa na picha walau 1
Picha ya security camera imeshatoka. Wenzao si huwa wanazifunika na kitambaa au wanavunja vunja.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Mke wa makonda annashindwa kumshauri mumewe jamani?
Mke wake anashinda kwenye makanisa akiomba na kusali! Anampelekesha sana na vyeo vyake vya kipuuzi na ubabe usio na maana!! Anatoa povu mwenyewe lawama ni mwanamke!!! Dada wa watu anakesha makanisani nadhani ana stress kubwa sana sana raha na ndoa hiyo!!! Hana jinsi tu!! Character za watu 2 hao zinafanana kila angle !! Hasikilizi ushauri wa mtu yeytot sembuse wa wanawake???? Jeuri fedhuli na kibri kimejaaaa
 
Back
Top Bottom