RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

- hahahahahaha Chuki na Wivu huzaa matokeo kama haya yaani binadam haelewi anachosema wala anachotaka, Mungu aniepushe maana kufikia huku ni lazima utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ambayo sina so pole sana mkuu tafuta na picha zingine weka hapa, ila kitabu kitazinduliwa tarehe 31/8 King Solomon Hall hahahaha U know

le Mutuz Superbrand[/QUOTE]

wewe huna akili na watu wengi huko tz wana tambua hilo, to cut the crap wewe ni ZERO brain
 
Naomba kama kuna mtu amewahi kwenda Zimbabwe, mimi nataka cha My Zimbabwean experience pulizi![emoji4][emoji4][emoji4].

Maana siku hizi ukisafiri kidogo unatoa kitabu.

Kweli Mzee kavikaza [emoji110][emoji110]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.

Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?

- Unaongea kama mke wangu ambaye ameandika sana humu kunitukana, kama sikosei wewe ni mtoto wa kiume sasa maneno ya kibamia ndio yale yale ya vijana wa pwani na jinsia hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Lazma utaje kile ambacho ulikifanya kule, kama ulizulumiwa, lazima usema, kama ulivuta bange, lazima usema, kama ulitoswa baharini, lazima useme etc

- Uzuri ni kwamba kinakaribia kuisha tayari hata uzinduzi bado, so ina maana wanao nunua hawakuamini unachosema pole sana hahahahaha, halafu unakosea umesahau kuwa ulishawahi kuniambia jina lako halisi tukiwa mtaani? Kumbe kitabu kimekuuma mpaka umeamua kubadilika? Au unadhani ninahusika kuitwa kwako na Serikali majuzi Dodoma? hahahahahahahha

le Mutuz Superbrand
 
- Unaongea kama mke wangu ambaye ameandika sana humu kunitukana, kama sikosei wewe ni mtoto wa kiume sasa maneno ya kibamia ndio yale yale ya vijana wa pwani na jinsia hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
Ila mkuu nimesema kwa "mfano" hapo. Soma vizuri tu mkuu.
 
39685795_1030781437104254_5904349622653943808_n.jpg

- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.

- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.

le Mutuz Superbrand
le KIBA100🙄
 
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- hahahahahaha Chuki na Wivu huzaa matokeo kama haya yaani binadam haelewi anachosema wala anachotaka, Mungu aniepushe maana kufikia huku ni lazima utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ambayo sina so pole sana mkuu tafuta na picha zingine weka hapa, ila kitabu kitazinduliwa tarehe 31/8 King Solomon Hall hahahaha U know

le Mutuz Superbrand

wewe huna akili na watu wengi huko tz wana tambua hilo, to cut the crap wewe ni ZERO brain [/QUOTE]

- Huo uliousema ndio ulinzi wangu nadio sababu ninafanikiwa mambo yangu cause ninatumia sheria ya maisha niliyofundishwa na the Chinese, kujifanya mjinga njoo bongo uandike kitabu halafu ukifanyie uzinduzi kama wangu, then we can talk! hahahahahha

le Mutuz Superbrand
 
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

- La msingi kuliko yote nilijisomesha shule huku wengine wengi wakifanya kazi na kutuma pesa nyumbani, leo nimerudi wao wameshindwa kisa ni elimu!

le Mutuz Superbrand
 
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

- hahahahaha umeelewa somo kumbe naona unakubali kimya kimya saafi sana, guys unajua huu mjadala unavyoendelea ni saafi kwa kuuza kitabu changu so tuendelee tu hivi hivi I love it

le Mutuz
 
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app

- Well, so far nimeshauza karibu robo tatu hata siku ya uzinduzi bado, so wewe shikilia mawazo yako hayo ila sisi tunasonga mbele

le Mutuz Superbrand
 
- Unaongea kama mke wangu ambaye ameandika sana humu kunitukana, kama sikosei wewe ni mtoto wa kiume sasa maneno ya kibamia ndio yale yale ya vijana wa pwani na jinsia hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
watu wanaongea kuhusu kibamia chako kwasababu Tanzania na dunia nzima imekiona kibolo chako ka toothpick hamna mambo ya jinsia sijui nini......tumbo kubwa kibolo toothpick

wenzako wa umri wako wanakula pension eti we ndo unataka kuoa sasa icho kibolo si ukizike tu mana kimeshafunikwa na kitambi chako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom