Fedor von Bock
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,321
- 2,157
Huyo alitakiwa kua mpishi wa kambi ya wazee wenzakeKila mtu apambane na hali yake mnavyomponda huyu baba wa watu hamjui Mungu amemuandikia njia gani ya maisha hata kama hutaki kitabu chake si ukae kimyaa!!ya nini kumpondaa!waja mkoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la kitabu ambacho kinaelezea kinachoitwa "true story", sio kweli kwamba ni true story, bali kuna vitu vingi vibaya alivyofanya mwenye kitabu havielezwi, kuonyesha kwamba yeye ndo chanzo cha tatizo, yote ni katika kutimiza story.
Vinginevyo, kama kwenye hiyo story kuna mwanamke aliachwa mfano, basi kuwe na stori ya kweli kutoka huyo mwanamke nae aelezee, mfano unaweza kuta jamaa alisalitiwa sababu ya kibamia au kukoroma usiku kwa mfano, unadhani hiyo story utaiona kwenye icho kitabu?
Lazma utaje kile ambacho ulikifanya kule, kama ulizulumiwa, lazima usema, kama ulivuta bange, lazima usema, kama ulitoswa baharini, lazima useme etc
Ila mkuu nimesema kwa "mfano" hapo. Soma vizuri tu mkuu.- Unaongea kama mke wangu ambaye ameandika sana humu kunitukana, kama sikosei wewe ni mtoto wa kiume sasa maneno ya kibamia ndio yale yale ya vijana wa pwani na jinsia hahahahahahaha
le Mutuz Superbrand
Kitabu chenyewe hakina maarifa ni Kama kusoma magazeti ya shigongo, uwongo mwingi ukweli kidogoMtu asiye kuwa na elimu kuzindua kitambu kilichoandikwa na mwenye elimu. Only, in Tanzania...
Kwa nini usitafute wasomi tu hapa nchini people like Mfuruki, Mengi, et all
le KIBA100🙄
- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
le Mutuz Superbrand
Kitabu chenyewe hakina maarifa ni Kama kusoma magazeti ya shigongo, uwongo mwingi ukweli kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
le KIBA100🙄
- hahahahahaha Chuki na Wivu huzaa matokeo kama haya yaani binadam haelewi anachosema wala anachotaka, Mungu aniepushe maana kufikia huku ni lazima utakua na matatizo makubwa sana ya Afya ambayo sina so pole sana mkuu tafuta na picha zingine weka hapa, ila kitabu kitazinduliwa tarehe 31/8 King Solomon Hall hahahaha U know
le Mutuz Superbrand
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo gani kubwa na lamaana ulilolifanya ambalo litatushawishi sisi tununue kitabu chako au kisa kukaa tuu Marekani ndo tununue Tusome maisha yako ya Marekani bac NYANI NGABU na yy atoe kitabu chake..kilicho jaa kwny icho kitabu ni nonsense tupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Big up William hope kuna mengi ya kujifunza ndani ya kitabu
watu wanaongea kuhusu kibamia chako kwasababu Tanzania na dunia nzima imekiona kibolo chako ka toothpick hamna mambo ya jinsia sijui nini......tumbo kubwa kibolo toothpick- Unaongea kama mke wangu ambaye ameandika sana humu kunitukana, kama sikosei wewe ni mtoto wa kiume sasa maneno ya kibamia ndio yale yale ya vijana wa pwani na jinsia hahahahahahaha
le Mutuz Superbrand