Ni fedheaDaawh!
Kuna watu wana Nuksi hatareee
Siku chache kabla ya kuzindua kitabu mfadhili anapigwa Mtama
Kabembelezwa kuoaaaa kakataaa ile anakubali tu Na mfadhili anajitangaza hadharani kufadhili zahmatu minal balaa linaibuka
Mtoto wa Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Na Makamu Mwenyekit Mstaafu wa CCM Taifa unaenda Kuwa Mpambe wa kijana mdogo toka Misungwi aliekuja mjini Baada ya kubalehe?"!
- hahahahaha ukiona mtoto wa kiume anaingia kwenye mitandao na kushambulia wanaume asiowajua na hata kutetea vitendo hivyo ujue kuna tatizo mahali sijui wapi hahahahahahaha
le Mutuz Superbrand
Jamani muacheni mzee wa watu apumue![emoji23]suti size gani itamtosha ? Itabidi mA designer kama sheria ngowi , kadinda nk waumize vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna safari ndefu kama taifa. Uzinduzi tarehe 31 wewe wahoji mrejesho wa uzinduzi. Yote uvivu wa kusoma.
labda suti ya kaptula (pensi).Uvae Suti siku hiyo sio hayo manguo yako hilo ni tukio "Spesho".
Wewe jamaa umenifurahishaNaomba kama kuna mtu amewahi kwenda Zimbabwe, mimi nataka cha My Zimbabwean experience pulizi![emoji4][emoji4][emoji4].
Maana siku hizi ukisafiri kidogo unatoa kitabu.
Kweli Mzee kavikaza [emoji110][emoji110]
Sent using Jamii Forums mobile app
ana diploma ya criminal justice.MWENYE CV AU ACADEMIC CREDENTIALS ZA THE KI-BA-100 AWEKE HAPA KWANZA KABLA YA KUOMBA KUJUA MAUDHUI YA HIKI KITABU
Wasanii gani watasindikiza uzinduzi wa kitabu
Uzinduzi hauku fana?Naona kimya kimetawala
😀Hata msosi hakuna,hakuna Davis Mosha,Makonda wala mzee Mengi😂🤣hata baba yake amemsusa mzee punje kibamiazi pole n this case is closed😂😃😂😃