RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Daawh!

Kuna watu wana Nuksi hatareee

Siku chache kabla ya kuzindua kitabu mfadhili anapigwa Mtama

Kabembelezwa kuoaaaa kakataaa ile anakubali tu Na mfadhili anajitangaza hadharani kufadhili zahmatu minal balaa linaibuka


Mtoto wa Waziri Mkuu Na Makamu wa kwanza wa Rais Na Makamu Mwenyekit Mstaafu wa CCM Taifa unaenda Kuwa Mpambe wa kijana mdogo toka Misungwi aliekuja mjini Baada ya kubalehe?"!
Ni fedhea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
- hahahahaha ukiona mtoto wa kiume anaingia kwenye mitandao na kushambulia wanaume asiowajua na hata kutetea vitendo hivyo ujue kuna tatizo mahali sijui wapi hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand


Vipi mzee kinazinduliwa tena? maana huyo jamaa yako sasa hivi napepesuka kama mgonjwa wa degedege.
 
Wasanii gani watasindikiza uzinduzi wa kitabu
 
Waliohudhuria tunaomba mrejesho wa sherehe za uzinduzi.

Nasikia Mengi na Diamond wamehudhuria
 
The hate kwenye huu uzi it's so oblivious mpaka inachefua!! Tanzanians we are too personal hata kwa mambo yasiyotuhusu!

Hey, it was a blast!! Uzinduzi wa hiki kitabu ulikua as planned and all things fell into place! Tukumbuke tu; ""- be who you are, the rest of the world will adjust!""
IMG-20180831-WA0014.jpg
ì
IMG-20180901-WA0003.jpg
IMG-20180901-WA0003.jpg
IMG-20180831-WA0109.jpg
IMG-20180831-WA0108.jpg
IMG-20180831-WA0103.jpg
IMG-20180831-WA0092.jpg
IMG-20180831-WA0088.jpg
IMG-20180831-WA0079.jpg
IMG-20180831-WA0066.jpg
IMG-20180831-WA0065.jpg
IMG-20180831-WA0046.jpg
IMG-20180831-WA0041.jpg
IMG-20180831-WA0014.jpg
IMG-20180831-WA0109.jpg
IMG-20180831-WA0108.jpg
IMG-20180831-WA0103.jpg
IMG-20180831-WA0092.jpg
IMG-20180831-WA0088.jpg
IMG-20180831-WA0079.jpg
IMG-20180831-WA0066.jpg
IMG-20180831-WA0065.jpg
IMG-20180831-WA0046.jpg
IMG-20180831-WA0041.jpg
s


IMG-20180831-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom