RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
 
- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
Kwa ulikuwa unataka kuchangiwa ama kukifungua kitabu chako maana kama ulikuwa unataka kukifungua kitabu ama kuchangiwa tatizo dhumuni alikuwa m10 dhumuni ilikuwa kuzindua kitabu na umekubali mgeni rasmi akuja
 
Reactions: etb

- Cha msingi ilikua kuuza kitabu, infact nimeweka historia ya kumaliza kuuza vitabu siku ya uzinduzi, mengine sio muhimu sana

le Mutuz Superbrand
 
Hahahahaha Chief, who is on another one's neck kwa huu uzi?! Anyway, in life what you give is what you get, be careful hayo mawe mnayorusha yasiwarudie siku moja!

- Thank U sister ila hawa wasikusumbue ndio lugha wanayoielewa huwa wanajifanya wajeuri lakini hawana lolote maana pamoja na kelele zao walijazana kununua vitabu ndio maana viliisha, so wasikupe taabu mimi nawamudu sana, pole sana na love U

le Mutuz Superbrand
 
Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]
 
- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
Aisee
Hongera Sana
Wishing you all the best on your endeavors walahi!
That’s all
 
Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]
Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]

- Sasa hivi nimeagiza vitabu vingine 300 vinakuja kesho, ni kwa order za mikoani na nje ya bongo karibu sana na wewe ununue kitabu!

le Mutuz Superbrand
 
- Sasa hivi nimeagiza vitabu vingine 300 vinakuja kesho, ni kwa order za mikoani na nje ya bongo karibu sana na wewe ununue kitabu!

le Mutuz Superbrand
Hali Ngumu ...Unauza Vitabu Vitatusaidia nini sasa[emoji41]
 
Aisee!
si engetueleza Experience ya Bongo Mbona anatueleza ya America?
Ndorooooboee
 
MY AMERICAN EXPERIENCE kimeshinda tuzo
.
.
.
.
.
.
.
Tuzo ya kitabu kibaya zaidi duniani
 
inawezekana le mutuz kauza vitabu vyote lakini kapata hasara
.
.
.
.
nishapiga moto kitabu kimoja cha zwazwa mmoja
 
inawezekana le mutuz kauza vitabu vyote lakini kapata hasara
.
.
.
.
nishapiga moto kitabu kimoja cha zwazwa mmoja

- hahahahahahhaa masikini ya Mungu, nimeuza vyote na sasa tumeongeza vingine 300 wala hatuna haraka, pole sana

le Mutuz Superbrand
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…