RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Mzee Mengi alikuja? Acha mbwembwe we Mzee you are zero zero zero .
Tatizo mbwembwe nyingi za kitoto angali ni Mzee . Angalia sasa ulivyosusiwa huo uzinduzi Hadi Bashite kakuogopa, kaaa umezidi kujipendekeza we Mzee utafikiria wadangaji wa mjini, Fala Sana we jamaa,na unaaibisha ukoo wa Mzee malecela

- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
 
- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
Kwa ulikuwa unataka kuchangiwa ama kukifungua kitabu chako maana kama ulikuwa unataka kukifungua kitabu ama kuchangiwa tatizo dhumuni alikuwa m10 dhumuni ilikuwa kuzindua kitabu na umekubali mgeni rasmi akuja
 
  • Thanks
Reactions: etb
Kwa ulikuwa unataka kuchangiwa ama kukifungua kitabu chako maana kama ulikuwa unataka kukifungua kitabu ama kuchangiwa tatizo dhumuni alikuwa m10 dhumuni ilikuwa kuzindua kitabu na umekubali mgeni rasmi akuja

- Cha msingi ilikua kuuza kitabu, infact nimeweka historia ya kumaliza kuuza vitabu siku ya uzinduzi, mengine sio muhimu sana

le Mutuz Superbrand
 
Hahahahaha Chief, who is on another one's neck kwa huu uzi?! Anyway, in life what you give is what you get, be careful hayo mawe mnayorusha yasiwarudie siku moja!

- Thank U sister ila hawa wasikusumbue ndio lugha wanayoielewa huwa wanajifanya wajeuri lakini hawana lolote maana pamoja na kelele zao walijazana kununua vitabu ndio maana viliisha, so wasikupe taabu mimi nawamudu sana, pole sana na love U

Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]
 
- hakuja lakini alichangia 10M ipi bora kuja au kuchangua mzigo? hahahahahahhahahahaa wafwa

le Mutuz Superbrand
Aisee
Hongera Sana
Wishing you all the best on your endeavors walahi!
That’s all
 
Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]
Ledezi unacheka Cheka tu
.... What old are you have Now [emoji41]

- Sasa hivi nimeagiza vitabu vingine 300 vinakuja kesho, ni kwa order za mikoani na nje ya bongo karibu sana na wewe ununue kitabu!

le Mutuz Superbrand
 
Hali Ngumu ...Unauza Vitabu Vitatusaidia nini sasa
emoji41.png
vipi muheshimiwa mkuu wa mkowa wa Darasallaaaamaliwasili.

- Aliwakilishwa na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mh. Zainab Kawawa

le Mutuz Superbrand
 
39685795_1030781437104254_5904349622653943808_n.jpg

Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda.

Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku.

Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.

Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.

Le Mutuz Superbrand
Aisee!
si engetueleza Experience ya Bongo Mbona anatueleza ya America?
Ndorooooboee
 
MY AMERICAN EXPERIENCE kimeshinda tuzo
.
.
.
.
.
.
.
Tuzo ya kitabu kibaya zaidi duniani
 
inawezekana le mutuz kauza vitabu vyote lakini kapata hasara
.
.
.
.
nishapiga moto kitabu kimoja cha zwazwa mmoja
 
inawezekana le mutuz kauza vitabu vyote lakini kapata hasara
.
.
.
.
nishapiga moto kitabu kimoja cha zwazwa mmoja

- hahahahahahhaa masikini ya Mungu, nimeuza vyote na sasa tumeongeza vingine 300 wala hatuna haraka, pole sana

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom