RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Alisha yaeleza yote kwenye insta yake, akapata comment za aandike kitabu ndo nae akaandika.

Mkuu kuna kitu kinaitwa "Autobiography", hivi ndo mtu anaweza kuulizwa kuhusu hizo mambo binafsi.

Yeye kaandika kitabu kuzungumzia experience yake kule, ambayo inaweza kujumlisha vitu vilivyowatokea watu aliokuwa nao around, mfumo mzima wa mazingira yaliyokuwa yanamzunguka etc.

Siyo necessary account ya maisha yake.
 
Mtu asiye kuwa na elimu kuzindua kitambu kilichoandikwa na mwenye elimu. Only, in Tanzania...

Kwa nini usitafute wasomi tu hapa nchini people like Mfuruki, Mengi, et all

- Kwa mtu mwenye elimu kuandika "KITAMBU" badala ya kitabu inaleta mashaka sana
kama kweli ana elimu ya kweli only in Tanzania!

le Mutuz Superbrand
 
Kitabu kimekua bahari ya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone
 
Kisipo uzika tambua kabisa tatizo ni gundu unalotegemea kulikalisha high table.
 
Yani kukoroma kuvunje ndoa *****

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…