RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Umeshachapisha vitabu vingapi? Ambapo tayari ushauza nusu yake.

Kwenye 4, nusu yake ni 2. Isije ikawa hivyo
Lazima atauza nakala za kutosha tu, watanzia wanaosoma magazeti ya udaku na story za shigongo ni wengi kuliko hao wasomi. Akiuze bei ndogo tu
 
Tutajifunza nini kwake?
Sijawahi ona walio andika kitabu kwa kufeli maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata aliyefeli maisha Bado kuna cha kujifunzs toka kwake. Na akiki weka kwenye maandish ni Bora zaidi kwani ni njia nzur ya kuwafunza watu kwa upana zaidi.

Hivi unadhan mtu aliyefeli maisha akaandika sabb zake za kufeli maisha sawa na waliofaulu maisha wanavyo Fanya unadhan wasingekuwa wanatufunza?
 
- Sio muhimu kujibu but nitakuelimisha kidogo, kila chenye mwanzo hakikosi mwisho, nilienda USA nikaamua kurudi nilikotoka Bongo, kelele za mlango ni kawaida. Walisema sitaweza bongo walipoona ninapaweza wakasema nimekimbia hahahahahhaa na bado! mtasema mengi sana!

le Mutuz Superbrand
Mi nilishasoma bure Insta upuuzi wako, hiyo buku 15 si bora ninunue nyama ya IDD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia hapo uliposema kimeshakuwa Habari ya Mjini, Nikajisemea, HATA KAMA NINGEKUWA NA MPANGO, NISINGETHUBUTU Maana I can see Yatakayokuwepo humo ni magunzi matupu [emoji706][emoji706][emoji706]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
39685795_1030781437104254_5904349622653943808_n.jpg


- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.

- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.

le Mutuz Superbrand
I say siku hiyo nitakuja Ku grab my copy ..najua kitakuwa na totoz nyingi pia siku hiyo ..am humbled u know
 
Wewe ni miongoni mwa wabebez wake??? amehusisha kitabu chake na maisha yake ya ndoa.Ila ukweli ni kwamba amekimbia amerika kwa hofu na kushindwa kwa majukumu ya wana na mke .Find the copy of that taka taka uone
Mkewe mtarajiwa.
Karibu kwenye ndoa yetu kiongizi
 
Kumbe bado watanzania wengi huko ni vichwa maandazi, ndo mana Lowassa alisema Elimu Elimu Elimu. Mtu anaponda kitabu hata cover huenda hajaliona hahaha. Hongera Bonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Super brand le mutuz, Tunausubiri huo uzinduzi kwa Hamu kubwa
 
Kuzinduliwa na dab [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom