RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Not talking about his title.

But kitabu kilichoandikwa hata na mtu mpuuz kiasi gani Bado kina nafasi nzur sana ya kufungua maarifa katika ubongo wa mtu mwerevu.

Siwez kusema kitabu chake hakina mantiki wala kukidharau
Naunga mkono hoja. Ndo maana hata mzinduzi wake ni mtu mwenye heshima yake kwenye taaluma.
 
Ukipata mualiko basi muache Sky nyumbani unibebe mie twende, kama hauendi basi nami itanipita. Tena uje hadi kwangu unichukue na mtengo wako.. si unao?😊
Ohooo... ushaanza ukorofi. Mwenye kitabu chake kasema hakuna kiingilio... hii inamaana wote mnakaribishwa mkacheze ngwasuma!
 
Exactly..Mtu mafanikio hana..unaandika historia yako ili iweje sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaeleza jinsi alivyokuwa failure, yaani mtu unakaa marekani miaka kibao unapata mke na watoto huko zen unawakimbia unakuja bongo kuishi maisha ya kuungaunga, bila hata ya kuwa na nyumba yako mwenyewe bongo hata huko USA.
Zen miaka inagonga 60 unahangaika tu na mambo very shallow ya kujionyesha kwenye starehestarehe za mabarobaro zisizoendana na umri wako.
Kupangiwa kuozeshwa tena na zero brain Bashite.
What a great failure to the former PM .
Hakuna lolote la kujifunza Kwa huyu kubwa jinga
 
Kwa hiyo wewe ni mganganga wa kienyeji huwezi kutambua mchawi kwa macho ya kawaida
Unataka ushahidi wa namna gani ndiyo uamini kama umemwona mtu kadondoka na ugo ni mchawi, au unataka uwe na elimu ya jiolojia ndiyo umtambue huyu aliye dondoka na ugo ni mchawi?
 
Ohooo... ushaanza ukorofi. Mwenye kitabu chake kasema hakuna kiingilio... hii inamaana wote mnakaribishwa mkacheze ngwasuma!

Ha ha haaaaaaaa
Si kwa kunikimbia huku.. haya kama hautaki hata kumnunulia kinywaji Cocochanel.
 
Hicho kitabu ni hovyo na bure kabisa, ndio maana kiingilio ni bure....
 
Hahaha duh kumbe nilikuwa naimba? Khaaa!

Ila unajua kitabu nacho basi bei hakitakupiga chenga, kwahiyo pata visa tu kivyovyote na ikiwa ni siku ya nightshift 🤗

💃💃💃💃💃



😀😀😀
 
Tunakisubiri kwa hamu
Le mutuz ameleta mapinduzi makubwa katika kucheza na mitandao,kutafuta udhamini na kujenga brand
Siku hizi kila msanii bongo utamsikia brand yangu nyoko nyoko mazafantaz
 
Back
Top Bottom