bogosho
Senior Member
- Jan 5, 2018
- 151
- 352
kitabu cha le mutuz ni kitabu cha udaku mtu mwenye akili zake awezi nunua ule upunguani si bora nikanunue malaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brainTunakisubiri kwa hamu
Le mutuz ameleta mapinduzi makubwa katika kucheza na mitandao,kutafuta udhamini na kujenga brand
Siku hizi kila msanii bongo utamsikia brand yangu nyoko nyoko mazafantaz
hujanielewa,naongelea wasanii ndio wameanza kusikia kwake,mie nipo kwenye tasnia ya masoko muda mrefu sanaKama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brain
Ungelikuwa ni msoma vitabu usingeliandika ulichoandikaEti superbrand..hii title kapewa na nani??
Mtu anayejielewa hawezi kuacha kusoma nondo za kina R.kayosaki,asome hiki cha huyu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante kwa haka kawimbo. Kitabu cha huyo le mbebez nakuachia wewe... wanangu wasije wakaiga njia za maloosers...
Nshanunua cha Mengi kinatosha..
Kaka wewe kibokoHiyo expirience imekufanya uwe nani!
Iv ungekua Baharesa ingekuaje?
Bashite ni mfuniko le kiba100 ni pipa wote mbululazzKwa sababu kitabu chenyewe ni cha kubangaiza .
Birds of the same feather
Tuma kadi yangu le mbebez nakuja kuwakilisha jf![]()
- Kitabu kipya cha "MY AMERICAN EXPERIENCE" kinatazamiwa kuzinduliwa rasmi Ijumaa ya tarehe 31/8/2018 katika Ukumbi wa King Solomon Hall uliopo Namanga pembeni ya Bestbite na kitazinduliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dar Mh. Paul Makonda. Uzinduzi huo utakaoanza Saa Kumi na Moja kamili jioni utasindikizwa na Muziki mzito wa bendi maarufu nchini FM Academia au Wazee wa Ngwasuma, na pia zitawashirikisha wasanii wengi wa Bongo Fleva. Watu wengi maarufu wanatazmiwa kuhuduria uzinduzi huo ambao unategemea kuisha saa sita kamili za usiku. Pia Vitabu hivyo vitaanza kuuza rasmi hapo ukumbini baada ya kuzinduliwa kwa bei ya Tsh. 15K tu! ....WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA KIINGILIO NI BURE!...Kitabu hiki amabcho tayari kimekua habari ya mjini hata kabla ya kutoka, tayari uzinduzi wake umeweka racord ya Wadhamini ambao tayari wameshafikia 20.
- Tunategemea wawakilishi wa Jamiiforums kwenye uzinduzi maana bila JF mimi nisingekuwa what I am today na Mitandao.
le Mutuz Superbrand
Daah! Ulipomtaja Prof Ishumi na falsafa mwili ukasisimka! He is good this field. Akina Sambo na marehemu Mbeo walikuwa wanagusagusa tu somo la falsafa kwa mbali. By the way tulikuwa darasa moja enzi hizo? Just asking.Yy anaongelea uzoefu wake wa kuish marekani. Na wala hajizungumzii yy maisha yake halisi.
Ama mm ndio sijamuelewa?
kitabu cha le mutuz ni kitabu cha udaku mtu mwenye akili zake awezi nunua ule upunguani si bora nikanunue malaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
unatakiwa ujiulize mafanikio ni nn. kingine una hakika gani km ana mafanikio tuache wivu na Roho za kwa nn tutashindwa kufika km taifa japo nina tofauti na jamaa kisiasa ila kwa ili nampa ongera sio jambo dogo kuandika kitabu kuwapa Elimu watu wengine...Exactly..Mtu mafanikio hana..unaandika historia yako ili iweje sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaeleza jinsi alivyokuwa failure, yaani mtu unakaa marekani miaka kibao unapata mke na watoto huko zen unawakimbia unakuja bongo kuishi maisha ya kuungaunga, bila hata ya kuwa na nyumba yako mwenyewe bongo hata huko USA.
Zen miaka inagonga 60 unahangaika tu na mambo very shallow ya kujionyesha kwenye starehestarehe za mabarobaro zisizoendana na umri wako.
Kupangiwa kuozeshwa tena na zero brain Bashite.
What a great failure to the former PM .
Hakuna lolote la kujifunza Kwa huyu kubwa jinga
kitabu cha le mutuz ni kitabu cha udaku mtu mwenye akili zake awezi nunua ule upunguani si bora nikanunue malaya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wewe umeanza kusikia neno brand kutoka Kwa huyo kubwa jinga pole yako na wewe utakuwa zero brain
[emoji23]suti size gani itamtosha ? Itabidi mA designer kama sheria ngowi , kadinda nk waumize vichwa
Sent using Jamii Forums mobile app