RC Makonda kuzindua kitabu "MY AMERICAN EXPERIENCE" Tarehe 31/8/2018

Chief you got so much hate it's clouding your judgement! Hii avatar unaona ni ya mbaba mtu mzima au mmama?

Otherwise as a human being ulitakiwa ujue hata wewe hapo ulipo hujakamilika! I am sure kuna watu kibao wasiopenda somethings about you lakini hawaji mtandaoni kukutupia mawe in each step that you make! Na kama wewe ni mwanaume, then I feel for your wife!
 
Hivyo anayenichukia nimpende?

Nina Moyo wa YESU Masiah?

Hata sijaomba umpende but at least kila mtu amuache binaadam mwenzake apumue!

You know you ain't perfect as well na katika hii dunia we are guaranteed to face the worst out of people so maybe Lemutuz is our worst, so let's face him badala ya kuchukia kisa Naye anachuki! Haijengi lolote zaidi ya kubomoa!
 
Kama hujaomba nimpende sweetheart basi ni sahihi na yeye awaache watu wapumie!
 
Hahahahaha Chief, who is on another one's neck kwa huu uzi?! Anyway, in life what you give is what you get, be careful hayo mawe mnayorusha yasiwarudie siku moja!
 
Badala ya kumpenda le mutuz mimi nimekupenda wewe na nilivyokuona kwenye hizo pìcha ndo brake hazikabi kabïsaaa
 
Mbona sijamwona mzee DAB au bado homa ya makompasi inamperepeta aisee mwaka huu ni wa tabu na yeye ni lazima ataishi kama Shetani na watu wanoitwa UNKNOWNS.

Ugua pole sana ndugu yangu TAL na salamu zangu za pole zikufikie hapo kitandani ili ujue kwamba watanzania bado tuko pamoja na wewe baba rudi nyumbani uje utupiganie wanao tunaonewa na kuteseka sana aisee.

NINI KIMETOKEA BAADA YA WEWE KUPIGWA MANATI YA KIZUNGU!

1.Mgambo wa jiji wanaua watu
2.walimu wanaua wanafunzi
3.wakuu wa wilaya wanawasweka ndani 48hrs watumishi wa serikalil
4.wakuu wa wilaya wanawafukuza wawekezaji
5.wakuu wa wilaya wamegeuka kuwa wao ndio TRA na wanawakadiria watu kodi hadharani
6.Wakuu wa mikoa wamegeuka kuwa ni miungu watu wamepewa mamlaka ya kuwasweka watu ndani bila hata kuwasomea mashataka ya awali
7.Watumishi wa serikali wanaishi maisha duni balaa hakuna nyongeza wala hakuna kupanda madaraja yani wako stagnated na hawajui waende wapi
8.tuliambiwa tutalipwa trillion 495 za yale makinikia yetu ya dhahabu pale bandarini na kila mtanzania atamiliki Noa lakini mpaka sasa hatupewi tena mrejesho na wala sijui kama ile kodi yangu iliyotumika kuunda Professorial rubbish Committee itarudi vipi
9.Wakuu wa mikoa na mamlaka yao ya kuwabeba wamejenga mahoteli na majumba makubwa makubwa hapo Mwanza eneo IGOMA tena wametumia miti ya minazi mizimamizima iliyobebwa kutoka DSM kurembesha bustani za hoteli na majumba hayo.
10.Kodi zetu zimetumika kuwanunua madiwani na wabunge kila uchwao tunarudia rudia uchaguzi.
11.Kodi yangu inatumika kurudia rudia uchaguzi na kila uchaguzi tunagaramia Tsh 1.2 bn na mpaka sasa tumeshafanya chaguzi sio chini ya sita kwa maana hiyo tumegaramia Tsh 7.2 bn na bado tunazo chaguzi nyingine mbili zianakuja mwezi huu huku hospitalini hakuna madawa na badly enough nasikia watumishi wa serikali bada ya kulalamika wamedanganywa eti watapandishwa madaraja mwezi wa 12 mwaka huu Danganya toto hiyo walaah ili waipe ccm support kwenye chaguzi zijazo za serikali za mitaa hapo 2019 aiseee. Naumia mimi

Mungu ibariki Tanzania,Mungu ibariki Africa, Mungu ibariki Roho yangu ya uvumilivu nizidi kukutumikia wewe na kukunyenyekea hakika hakuna kiongozi atakaeeza kunitoa kwenye hii hali niliyofikia ila ni wewe tuu Bwana.
 
Si-ha-sa
 
Very nice. Will get mine soon.

Sent using Jamii Forums mobile app

- Thanks guys nilikua busy sana, isipokua uzinduzi ulienda kama ilivyopangwa na tuliweka record ya kuuza vitavu vyote 600, na sasa nimeagiza vingine tena 300 it is a good thing na pia tuliweka record ya wadhamini maana haijawahi kutokea event ikawa na wadahmini wengi kama hii. Thanks guys kazi kazi

le Mutuz Superbrand
 
na
WAJIFUNZE KITUGANI...
KUWA MPAMBE WA WENYE FEDHA BONGO HII, HANA LOLOTE LA MAANA. AT LEAST ANGEKUJA HUKU NA KUFANYA KITU CHA MAANA AMBACHO TANZANIA NA DUNIA INAKITAMBUA HAPO SAWA. BINAFSI NIPO HUKU NA SIJAWAHI KUMSIKIA KATIKA USHAWISHI WOWOTE.
KM6.jpg

Kambale Musavuli
Kambale Musavuli, a native of the Democratic Republic of Congo and one of the leading political and cultural Congolese voices, is a human rights advocate, Student Coordinator and National Spokesperson for the Friends of the Congo. Mr. Musavuli’s professional activities, publications, and public engagements reflect his unflagging commitment to realizing peace and justice in the Congo.

Mr. Musavuli’s writings have appeared in The Washington Post.com, Foreign Policy in Focus, The Huffington Post and numerous other academic and news publications. He has also been interviewed on National Public Radio, Democracy Now, ABC News, Al Jazeera English Television, Radio France International and a number of other radio and television programs. He has been profiled in publications such as Christianity, News and Record, and other newspapers around the world.

- Wewe mtu mmoja against watu 600 walionunua vitabu hahahahahahahaha pole sana

le Mutuz Superbrand
 
Ungranza kwa kutafuta jibu la swali hili.

Ni kwa nini so hatred kwa Mobimba nge nge nge?

Kwa nini iwe kwa watu wengi namna hii?

Huyu Mtu wako anachuki kuliko hata chiki za wanao mchukia!

- hahahahahahahaha hillarious hahahahahahaha

le Mutuz Superbrand
 
Back
Top Bottom