ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda amempongeza Rais Samia Kwa kuleta Mabadiliko kwenye sekta ya Utalii ambayo yameleta mzunguko mkubwa wa hela Mkoani Arusha sanjali na kumimina wawekezaji.
Bwana Makonda ametoa orodha ya takwimu kuonesha mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Utalii baada ya Filamu yake ya Royal tour kuanza kumimina watalii na pesa Mkoani kwake.
Soma zaidi hapa Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia 💯
Takwimu alizotoa bwana Makonda zinaonesha kwamba kabla ya Rais Samia kuingia madarakani mwaka 2021,sekta ya Utalii ilikuwa imedorora sana ila Sasa Ina Neema tele kama takwimu zinavuoonesha hapa chini ,
1. Kabla ya mwaka 2021 ,Mauzo ya sekta ya Utalii kiujumla yameongezeka kutoka Bilioni 310 Hadi kufikia Trilioni 2.7 (asilimia 770%)
2. Mapato ya Mamlaka ya Ngorongoro,Tanapa na Tawa yameongezeka kutoka Bilioni 125 Hadi Bilioni 821 (asilimia 550%).
3. Ununuzi wa Magari ya Watalii kutoka Bilioni 2 hadi Bilioni 50 Kwa mwaka (asilimia 2400%)
4. VAT ya sekta ya Utalii kutoka Bilioni 36 Hadi Bilioni 336 (asilimia 833%).
Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.
Aidha ikumbukwe hata Utalii wa mikutano hapo Arusha umeongezeka sana kiasi kwamba AICC Iko fully booked Kwa miezi 6 hii ya Mwanzo.
View: https://www.instagram.com/reel/DEkO2Brxhhz/?igsh=ZWFsenNwOXlhZGpi
My Take
Mafanikio haya yote yamepatikana Kwa kipindi kisichozidi miaka 4 ya Uongozi wa DK.Samia.Hakika mama tunakupa maua Yako.
Kama hivi ndivyo Kuna haja gani ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi Mkuu mwaka huu?
Samia anatosha na chenji inabaki.