RC Makonda: Samia aongeza Mapato ya Utalii Arusha kutoka Bln 310 Hadi Trilioni 2.7, VAT kutoka Bln 37 hadi Bln 336. Royal tour imekuwa mkombozi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda amempongeza Rais Samia Kwa kuleta Mabadiliko kwenye sekta ya Utalii ambayo yameleta mzunguko mkubwa wa hela Mkoani Arusha sanjali na kumimina wawekezaji.

Bwana Makonda ametoa orodha ya takwimu kuonesha mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Utalii baada ya Filamu yake ya Royal tour kuanza kumimina watalii na pesa Mkoani kwake.

Soma zaidi hapa Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia 💯

Takwimu alizotoa bwana Makonda zinaonesha kwamba kabla ya Rais Samia kuingia madarakani mwaka 2021,sekta ya Utalii ilikuwa imedorora sana ila Sasa Ina Neema tele kama takwimu zinavuoonesha hapa chini ,

1. Kabla ya mwaka 2021 ,Mauzo ya sekta ya Utalii kiujumla yameongezeka kutoka Bilioni 310 Hadi kufikia Trilioni 2.7 (asilimia 770%)

2. Mapato ya Mamlaka ya Ngorongoro,Tanapa na Tawa yameongezeka kutoka Bilioni 125 Hadi Bilioni 821 (asilimia 550%).

3. Ununuzi wa Magari ya Watalii kutoka Bilioni 2 hadi Bilioni 50 Kwa mwaka (asilimia 2400%)

4. VAT ya sekta ya Utalii kutoka Bilioni 36 Hadi Bilioni 336 (asilimia 833%).

Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.

Aidha ikumbukwe hata Utalii wa mikutano hapo Arusha umeongezeka sana kiasi kwamba AICC Iko fully booked Kwa miezi 6 hii ya Mwanzo.

View: https://www.instagram.com/reel/DEkO2Brxhhz/?igsh=ZWFsenNwOXlhZGpi

My Take
Mafanikio haya yote yamepatikana Kwa kipindi kisichozidi miaka 4 ya Uongozi wa DK.Samia.Hakika mama tunakupa maua Yako.

Kama hivi ndivyo Kuna haja gani ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi Mkuu mwaka huu?

Samia anatosha na chenji inabaki.
Screenshot_20241220-191915.jpg
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha bwana Paul Makonda amempongeza Rais Samia Kwa kuleta Mabadiliko kwenye sekta ya Utalii ambayo yameleta mzunguko mkubwa wa hela Mkoani Arusha sanjali na kumimina wawekezaji.

Bwana Makonda ametoa orodha ya takwimu kuonesha mchango wa Rais Samia kwenye sekta ya Utalii baada ya Filamu yake ya Royal tour kuanza kumimina watalii na pesa Mkoani kwake.

Takwimu alizotoa bwana Makonda zinaonesha kwamba kabla ya Rais Samia kuingia madarakani mwaka 2021,sekta ya Utalii ilikuwa imedorora sana ila Sasa Ina Neema tele kama takwimu zinavuoonesha hapa chini ,

1.Kabla ya mwaka 2021 ,Mauzo ya sekta ya Utalii kiujumla yameongezeka kutoka Bilioni 310 Hadi kufikia Trilioni 2.7 (asilimia 770%)

2.Mapato ya Mamlaka ya Ngorongoro,Tanapa na Tawa yameongezeka kutoka Bilioni 125 Hadi Bilioni 821 (asilimia 550%).

3.Ununuzi wa Magari ya Watalii kutoka Bilioni 2 hadi Bilioni 50 Kwa mwaka (asilimia 2400%)

4.VAT ya sekta ya Utalii kutoka Bilioni 36 Hadi Bilioni 336 (asilimia 833%).

My Take
Mafanikio haya yote yamepatikana Kwa kipindi kisichozidi miaka 4 ya Uongozi wa DK.Samia.Hakika mama tunakupa maua Yako.

Kama hivi ndivyo Kuna haja gani ya kupoteza Fedha kufanya uchaguzi Mkuu mwaka huu?

Samia anatosha na chenji inabaki.
View attachment 3195701
 
Attachments

  • IMG-20250107-WA0020.jpg
    IMG-20250107-WA0020.jpg
    63.2 KB · Views: 2

(asilimia 2400%)🤣🤣🤣 Matatizo ya kusoma HGL,HKL
I'm exploring the mathematical implications of a 2400% growth.😳
 
Kutoka watalii 1milioni hadi watalii 5milioni sio mchezo
Watalii 5mln Bado hatujafikia ila ndio lengo ambalo inatakiwa by disemba mwaka huu tufike.

Kwangu Mimi wakifikia watalii wa Nje 2.7 mln na WA ndani 1.3 lengo litafikiwa.
 
Back
Top Bottom