GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
ameshindwa kenya ataweza waarabu thubutu yake!!!!!!!!!!!!!!
Aljeria watatutia mpaka madole...
MISSION IMPOSSIBLE! KWA WAARABU NA HIYO ROUTE ULIZOTOA MUNGU ALIINGILIA KATI. Yeye atafute sababu za kuwambia Magu!! maana mwisho itafikia magotiniKiongozi hutaki na humuamini Makonda? Kama aliweza Kulifanikisha kwa uzuri kabisa japo hakufanikiwa kama alivyotaka Yeye Zoezi lake lile Maalum la Dodoma hadi Nairobi na Nairobi hadi Ubelgiji na Ubelgiji hadi Uingereza na Uingereza kurejea Ubelgiji tena akiaminiwa kabisa na Bosi wake aliyemteua ndiyo atawashindwa hawa Waarabu wepesi tu kutoka nchini Algeria?
Hii comment sio poaAljeria watatutia mpaka madole...
NImeathiri vipi Maisha yako Kiujumla?
.............You're a typical Moron.
Usipende kulitaja jina la Bwana Mungu wako ktk masuala ya Mzaha!Alishasema alipo yeye na Mungu yupo lakini jana pale uwanjani Mungu alimtafuta Daudi alipomkosa aliwageukia Harambee