GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
ameshindwa kenya ataweza waarabu thubutu yake!!!!!!!!!!!!!!
Kiongozi hutaki na humuamini Makonda? Kama aliweza Kulifanikisha kwa uzuri kabisa japo hakufanikiwa kama alivyotaka Yeye Zoezi lake lile Maalum la Dodoma hadi Nairobi na Nairobi hadi Ubelgiji na Ubelgiji hadi Uingereza na Uingereza kurejea Ubelgiji tena akiaminiwa kabisa na Bosi wake aliyemteua ndiyo atawashindwa hawa Waarabu wepesi tu kutoka nchini Algeria?