Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi ameagiza kutafutwa aliko Mbunge wa Jimbo la Mwibara Charles Kajege kufuatia Mbunge huyo kutohudhuria vikao vya kujadili maendeleo vya huo toka apate ridhaa hiyo ya ubunge kwa Jimbo hilo
Mtambi amesema hajawahi kukutana na Mbunge huyo kwa kipindi chake chote akiwa Mkoani Mara ambapo amemuomba Katibu Tawala Mkoa wa Mara Gelard Kusaya kuangalia namna ya kupata mwakilishi wa wananchi mwingine kutoka eneo hilo pindi vinapotokea vikao.
"Kuna wabunge naongea nao hadi kwa njia ya Simu tunashauriana Maendeleo ya Mkoa wa Mara lakini huyu Mbunge sijawai kumuona wala simu yake Chama mtusaidie kujua aliko na Ras uangalie namna ya kupata watu wakuja kwenye vikao kuwawakilisha wananchi hasa hivi vya maamuzi " - alisema Kanali Evans Mtambi.
Soma, Pia